vitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila kuwa na vitambulisho hufungi ndoa

    https://www.facebook.com/reel/2150748608866868/?app=fbl
  2. M

    Serikali: Vitambulisho Milioni 1 na nusu na zaidi vya NIDA viko tayari, nendeni mkavichukue

    Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako." Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa kwenda kuchukua vitambulisho vyao. Tunayo changamoto, kama nilivyosema kwenye takwimu, tumesajili...
  3. O

    Vitambulisho 180 Nyumbani kwa Mshukiwa Busia:

    Vitambulisho 180 vya watu tofauti, tear gas, buti za kijeshi na vifaa vinavyoshukiwa kutumika kuvunja nyumba—hivi ndivyo vilivyopatikana katika operesheni ya DCI huko Busia. Maafisa wa Directorate of Criminal Investigations (DCI) wamewakamata wanaume wawili wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge...
  4. M

    Nimepotelewa na wallet ikiwa na vitambulisho vyote vya muhimu

    Nimepotelea na portable wallet yangu na IDs zote na cards za bank. Naitwa Joseph Shine na number zangu ni 0659 714472
  5. N

    Vitambulisho vya NIDA vipigwe "photocopy" kisha muhuri wa serikali ya mtaa kama cards za gari

    It's me JamiiForums member: Nina Akili Ndogo Sana. Kama kadi ya gari inapigwa photocopy pamoja na kuwekwa muhuri (stamp duty) ya TRA, kwanini kitambulisho cha NIDA kisipigwe photocopy na kuwekwa muhuri wa serikali ya mtaa kwa gharama ya 1,000 TZS pekee ili mtu atembee na copy pekee?? Mtu...
  6. Vimeokotwa vitambulisho vya Bernadetha Mohamedi Kalembo, Hospitali ya Kibamba

    Anayemjua mhusika aje inbox nimwelekeze.
  7. Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
  8. Yohana Msita: Sasa tutumie tehama kuajiri | si sawa watahiniwa kubebelea vyeti na vitambulisho kwenye usaili

    Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe. Yohana Msita bungeni inaonyesha mwelekeo wa mageuzi ya kiutawala na utumishi wa umma, ambapo...
  9. Wakimbizi Raia Wa Burundi Wamekuwa Wakijipatia vitambulisho vya NIDA kwa Njia Hii

    Warundi wengi wana background ya Ukimbizi wa nchi mbalimbali ikiwemo hapa Tanzania. Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Serikali ya Burundi kuwarejesha warundi wote wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi Nduta na Nyarugusu. Sasa baada ya kurejea makwao, Warundi kwa kushirikiana na...
  10. Wameshindwa kuwaondoa Wamachinga bora aliyekuwa anakusanya hela za vitambulisho

    Kwa idadi ya wamechinga 7000 kwa 20,000 kwa mwaka ni kiasi gani hapo sasa mlikurupuka na mipango yenu ikaishi ukingoni ,kama mngeendelea kusanya buku 20 leo mngekuwa nazo ngapi zisingetosha hata kununua kununua panadol Naomba muendeleze mambo ya Magufuli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni .
  11. K

    KERO Tuliorejesha vitambulisho vya NIDA vilivyofutika tunapigwa 'danadana' kupatiwa vingine

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na uzembe wa mzabuni aliyekuwa na tenda ya uchapishaji, aliyesababisha uzalishaji wa vitambulisho vyenye...
  12. NIDA Mbeya kwanini vitambulisho vinafutika kabla ya kuwafikia raia? Hamuoni kama mnachezea kodi zetu makusudi?

    Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
  13. Simbachawene: Tunataka kupunguza utitiri wa vitambulisho

    Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri wa vitambulisho pale mwananchi anapohitaji huduma mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  14. Polisi wanadai Vitambulisho jijini Dar Es Salaam

    Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania. Eti kufahamiana sio vibaya wanasema. Wao hawaoni kama wanasumbua...
  15. GE2025 Kuna wimbi kubwa la watu kupita kwenye kila kaya kuandikisha namba za vitambulisho vya kura

    Hili jambo lipo kwa Kasi sana. Nimejaribu kuwasiliana na watu wa mikoa tofauti wamekili kwamba wanapita na kufanya hilo zoezi. Wanajua wazi kwamba mwaka huu watu hawana hamu na uchaguzi na hawatapiga kura in numbers. Wanatengeneza kura za kufikirika. Na mtashangaa idadi ya kura...
  16. A

    Uhalali wa vitambulisho kuingia ndani ya ukuta wa Magufuli

    Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa. Lakini maswali muhimu bado hayajajibiwa: 🔹 Kwa nini kitambulisho cha taifa kisitoshe kuthibitisha uraia na uhalali wa...
  17. CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
  18. NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Nahitaji mtu wa kunitengenezea vitambulisho 300 soft copy kwa hapa Dar.Aliye tayari anichek inbox tuelewane bei, nimtumie sample tufanye kazi.
  19. RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
  20. Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…