vikundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded Manispaa ya Lindi: Mikopo ya 10%, Vikundi 42 viliomba, 41 viliidhinishwa, malipo ya vikundi vitano yamepata changamoto

    Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake. Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
  2. Responded Manispaa ya Ubungo: Mikopo ya 10% Vikundi 27 viliomba, vikapata 10, dirisha jipya vikundi vilivyoomba ni 327

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imepokea na kufuatilia kwa kina taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa kijamii wa JamiiForums yenye kichwa cha habari kisemacho: "Nini kinaendelea mikopo ya 10% Halmashauri ya...
  3. INSP:Makere ataka kurejeshwa vikundi vya ulinzi shirikishi Kata ya Msaranga Moshi

    MSARANGA Wito umetolewa kwa wananchi wa Kata ya Msaranga Manispaa ya moshi kuvirejesha vikundi vya ulinzi shirikishi kwenye Kata hiyo ikiwa ni mkakati wa kuimarisha suala la ulinzi na usalama . Wito huo umetolewa na mkaguzi wa polisi (Inspector )Makere ambaye ni polisi Kata wa Kata ya Msaranga...
  4. Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  5. F

    Hivi vikundi vya watekaji na wauwaji vidhibitiwe haraka,Raulent Kabila, alitendwa vibaya sana na mlinzi wake

    Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia. Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa. Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
  6. Hivi kwa nini serikali nyingi zikitengeneza vikundi vya kujilinda, mauwaji na utekaji mwisho wa siku wanakuja wanageukana?

    Ukichunguza nchi ambazo zimepita kama sisi tulipo sasa na zikiendelea mwisho wa siku ndani ya kundi ilo wengine uchoka au kutaka nafasi ya watawala.
  7. Mikopo ya 10% kwa Vikundi: Fursa ya Kujenga Uchumi

    Tunapoona vikundi vya wajasiriamali 33,594 vikifikiwa na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kupitia Serikali tunapaswa kutafakari kwa kina Je hii si ishara kwamba Serikali inaendelea kufungua milango ya wananchi kushiriki moja kwa moja katika uchumi wa nchi yao? Pongezi za dhati zimwendee...
  8. Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  9. Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani. Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa? Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa...
  10. Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

    Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
  11. Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  12. Tanpol tunaomba kuuliza ili.Hivi vikundi ni vyenu na vinapataje ujasili kuwa vitapigana watakao andamana.

    Nani mzamini wa kuita wana habari na kusema watawashugulikia wakati ni raia wasio na mamlaka wakati jeshi la polisi lipo. Naanza hapa Sasa na hiki kikundi ambacho kinatishia .Polisi mpo kimya.
  13. Vikampuni vya mikopo online ni vikundi vya kausha damu, hivi Benki kuu imevisajili kweli? Mbona Zuri pesa wanatukana hivi?

    Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa zuri pesa ni balaa. Jamaa akaamua kuwatandika block la maana weee! UJUMBE uliofatia hapo ni balaa...
  14. D

    Tupeane mbinu mpya za kuhifadhi pesa za vikundi naona vm-koba kazi inataka kuwashinda

    Dalili ya Mvua ni Mawingu ndungu zangu, Hawa Mkoba online naona kama kazi inataka kuwashinda! Naomba tupeane Mbinu mpya ya kuhifadhi pesa za vikundi ambapo unaweza kuhifadhi kirahisi na kuipata kwa haraka muda wowote 24/7
  15. A

    KERO Afisa Maendeleo ya Jamii wa Pangani ni kikwazo cha kuinuka kwa vikundi vya 10%

    Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya kurejesha fedha hizo baada ya fedha kuingizwa kwenye akaunti ya kikundi tumezuiwa kuitoa bila ya...
  16. Je, vijana walioajiriwa serikalini na sekta binafsi wana haki ya kuunda vikundi na kupata mikopo?

    Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ? Tujibu tafadhali
  17. M

    Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  18. Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi

    Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi. Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
  19. M

    Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  20. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…