video

  1. Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali. Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
  2. Tazama hizi video hakika hutojutia bando lako

    Nimejikuta nacheka na kuongezea siku za kuishi usisite kudondosha comments zako.....
  3. Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

    ====== A video taken by an onlooker Monday evening shows a Minneapolis police officer keeping his knee on the neck of a motionless, moaning man at the foot of a squad car. The man, who was later identified as George Floyd, later died. Tuesday afternoon, Minneapolis Police Chief Medaria...
  4. Kenya: Gumzo Africa's First Video Conferencing App

    Gaming Startup Usiku Games has launched what they describe as the first “made in Africa for Africa” video conferencing system. Dubbed Gumzo, which is Kiswahili for chatting, the new platform promises better quality calls with unlimited attendees at affordable prices. Currently, the company says...
  5. Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  6. VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

    NEWS UPDATE: Mwanaharakati wa Haki za Wanawake hapa nchini Joyce Kiria the super woman pamoja na Juma Raibu diwani wa boma Mbuzi Manispaa Moshi wamsaidia mwanamke aliye daiwa kufumaniwa na mume wa mtu kupata matibabu Akizungumza Mara baada kutembelewa nyumbani kwake Msaranga wilani Moshi Mkoani...
  7. Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

    Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu.... Thank Lord Naona covid ikidunda Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa Kikubwa Tuendelee kuchukua tahadhari zote Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
  8. Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

    ======== Mh. Waitara amesema kuwa baada ya wabunge wa CHADEMA kutangaza kuwa watahamia CCM na wengine wataenda NCCR Mageuzi basi wameshambuliwa sana na hasa Mh, Lijualikali. Amesema kuwa miongoni mwa watu ambao anawafahamu ni pamoja na Lijualikali, anadai alipoenda Mlimba na Kilombero wakati...
  9. Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

    Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
  10. Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  11. Mara yako ya kwanza kuangalia "Pilau" ilikua je?

    Katika harakati za ujana unakumbana na mambo mengi ikiwemo udomo zege, mahusiano,uhuni,chabo mapenz etc Back in March 2001 nikiwa kidato cha kwanza shule flan jijini dar es salaam. Nimetoka kijijini mkoa wa kaskazini Enzi sijui mwanamke,wala sikuwahi kuona uchi wa mwanamke wala Puli sikua...
  12. VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

    Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma . Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
  13. Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
  14. 6ix9ine avunja rekodi ya EMINEM ya video iliyoangaliwa kwa wingi ndani ya siku moja.

    Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe. You Mad Coz Am Back...
  15. VIDEO: Tazama namna Covid 19 ilivyoleta taswira mpya katika miji mbalimbali ulimwenguni

    Tazama namna Corona ilivyoathiri miji mbalimbali ulimwenguni. Janga hili limesababisha watu kuwekwa Karantini ikiwemo miji mingine kuwaamuru raia wake kutotoka nje.
  16. Video: Sasa nazidi kuielewa kauli ya Rais “endeleeni kufyatua kwa kasi”, kama bado unaamini misaada toka kwa wazungu ni kwa sababu ya upendo

    Kama kuna mtu bado anaamini sera na misaada ya wazungu juu ya waafrika ni kwa sababu wanatupenda sana basi angalia hii video. Huyu mzungu alikuwa ni mtu wa ndani kabisa katika serikali ya kibeberu na anasema wazi kwamba misaada waliyotoa kuanzia mwaka 1990 hadi 2000 kwa Afrika ilikuwa ni karibu...
  17. Rais Maguful na Spika Ndugai kama hamtaki kuahirishwa Bunge tumieni Video Conference!

    Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha. Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
  18. Usawa wa Kijinsi: Waziri wa Sierra Leone aendesha kikao kwa njia ya video akiwa na mwanae mgongoni

    Mara ya kwanza ilionekana kama picha nzuri iliyotumwa kwenye ukurasa wa Twitter kuwachangamsha watu katika nyakati hizi za corona. Lakini wakati ilipogundulika kuwa mwanamume huyo aliyeshirikisha umma picha ya binti yake mwenye umri wa miezi 10 akiwa amefungwa mgongoni mwake wakati wa kikao...
  19. RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ametangaza kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku tatu zilizopita. Mama Mghwira anasema kuwa hajui amepata wapi na lini maambukizi hayo. Lakini amesema kuwa hana dalili zozote na aliamua tu kupima kujua afya yake. --
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…