video

  1. Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  2. Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

    Zambia hii wajameni
  3. VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  4. KWA WANAO FAHAMU SOFTWARE YA VIDEO EDIT & GRAPHICS KU INSTALL KWENYE UBUNTU

    Habari wanandugu wenzangu naomba kwa mtu anae fahamu software ya Video Editing na Graphics kwenye Ubuntu tuwasiliane nitamlipa.
  5. Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

    Habari wakuu, Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=...
  6. Video inayotrend Instagram ikimuonyesha malaika anapaa kwenye mawingu ni ya kweli?

    Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
  7. Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

    Hawa wanaofanya hivi kwa Raia? Inaumiza sana. Watanzania wameshachoka sana na haya mambo. Mimi nawaambia tunakoenda ni kubaya sana.
  8. Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  9. YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
  10. M

    Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

    Mzuka wanajamvi! Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God. The majestic...
  11. Video: Maoni ya Wakili Peter Madeleka baada ya "commital proceeding" ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake

  12. Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

    High drama in the Gwajima clan! So is this a tacit admission that it indeed was him in that homemade sextape?
  13. M

    Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

    tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka. Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
  14. Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

    WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni. Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29). Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na...
  15. N

    Video: Huyu ni mtangazaji mwenye chuki kali kwa Simba. Simba punguzeni shobo kwa Efm

    Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu Hata...
  16. Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

    Sitaki kuongeza chumvi, jionee mwenyewe
  17. Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
  18. Video: Mtanzania amdunda mchina kazini

  19. VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…