video

  1. REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  2. Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

    Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
  3. Makosa matano yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Zuwena ya msanii Diamond Platinumz

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 5 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter. ........................................................... Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
  4. Walimu 6 walioonekana katika video ya watoto wakiigiza ngono wafikishwa Mahakamani

    Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi. Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma. Walimu hao walikamatwa...
  5. Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  6. M

    Picha na video ya mji wa Kitchanga jinsi M23 walivyoukomboa

    Baada ya mwanajamvi Justine Marack kuendelea na kisa chake cha kusisimua nimeingia youtube na kupiga screen shots na video mbili na kushare na nyinyi. Napiga picha mazingira magumu mtu wetu alivyopitia hapo Kitchanga. Video
  7. E

    Video games vs Online games; kuna utofauti kweli?

    Wale wa FIFA 22 na Mortal Kombat...na wale wa hii michezo ya Online kupitia kampuni na platform mbali mbali.. ukiachana na teknolojia inayotumika,kuna utofauti gani watu wangu?
  8. Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  9. Kwanini wapenzi hurekodi video au kupiga picha za utupu kisha wakiachana huzivujisha?

    Habari wana jamii. Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono. Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha? Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
  10. D

    Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

    Kuna video inatembea mitandaoni! Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki) Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla! Maneno...
  11. Vilivyo-expire ni vingi aisee, video zaidi zarekodiwa

    Huku tukiendelea na sekeseke la awali kuhusu vifaa vilivyoexpire, eebwana kuna hii nyingine. Sijui ni wapi.
  12. Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
  13. Siyo bangi tu, hata video za utupu ni shida kubwa

    Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde. Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
  14. Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  15. Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    Hii video inasambaa Sana. Kwani mhusika aliyepo hai video yake Ipo wapi?
  16. Kijana hii video ikawe Motisha kwako tunapoianza 2023

    Nawasilisha, uzee mwisho chalinze na haswaa ukiwa na mabumba ya kufa mtu. weka akili vizuri mambo haya yanawezekana
  17. Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  18. Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  19. SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  20. Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

    Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali". Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…