video

  1. PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  2. Video: Walipa kodi wanavyoteseka na huduma za jamii

  3. R

    Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  4. Video: Wananchi Kenya wavamia ubalozi wa Tanzania kutokana na Wakenya kushikiliwa na kuzuiwa kuingia Tanzania

  5. Video ikionesha wadada wakipata wakati mgumu kukaa chini baada ya kufanyia upasuaji katika clinic ya kuongeza makalio

    🤣 Maisha ni mapambano, na hawa wanapambana kukaa.
  6. Video: Kuna Jambo Halipo Sawa Hapa, Either Tumekosa Uelekeo Au Uelekeo Umetukosa Sisi. Hii Ni Dharau Kubwa Sana

    Kama Nipo Sahihi Hapo Mbele Ni Gari Ya Polisi... Je Polisi Wanafanya Biashara Ya Kukodisha Hizo Gari Za Ving'ora? Au Kuna Vigezo Gani Vimetumika Kumpa Huyo Dogo Msafara Wa Polisi? Kabla Hatujalaumu Tunaomba Jeshi litoe ufafanuzi, ili tujue ni money talks kama anavyosema au lah... Maana siku...
  7. Wakuu kuna site yoyote ya free ya AI inayogeuza still picture kuwa AI video

    Kichwa cha thread cha husika,natafuta site isiyo ya kulipia,itakayokuwa inaniwezesha kubadili still picture kuwa AI Video.Natanguliza shukrani
  8. Video: Hamas Al-Qassam vikiwalenga wanajeshi na magari ya Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025. Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
  9. Video: This is the future of education.

  10. Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  11. A

    PreGE2025 POTOSHI Mbunge aomba barabara ya lami, ajibiwa ni muda wa kuaga kuelekea uchaguzi na si kuomba barabara

    Born-town wanamcheka mwenzao anayeulizia Barabara Bunge hili. Kwa kumkumbusha biashara ya kujali wananchi ilishaisha kitambo! Aisee nawahurumia watakaoenda kupanga folen tena.
  12. Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; 🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza 🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi 🎤Ipi...
  13. Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  14. Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
  15. Exclusive video ya Simba Robo Fainali ya CAF Cup 1993

    Zinaendelea kuibuka video nyingi zaidi za kumbukumbu ya mafanikio ya Simba katika historia ya mpira Tanzania. Leo nawaletea video ya robo fainali ya CAF Cup 1993 kati ya USM El Harrachi dhidi ya Simba iliyochezwa kule Algeria. Simba ilivuka kigingi hiki na kwenda hadi fainali na kuwa klabu ya...
  16. M

    PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  17. SI KWELI Video hii inaonesha watu wakikimbia baada ya kushuka kwenye kivuko Kigamboni

    Wakuu nimekutana na hii video mtandaoni mara nyingi na inadaiwa kuwa ni kivuko cha kigamboni ambapo watu wakishuka huwa wanakimbia kwa spidi kama inavyoonekana kwenye video hiyo. JamiiCheck uhalisia ni upi?
  18. Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
  19. Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  20. Video: Hapa sisi Mashujaa tulichemka sana. Sina cha Kumlaumu Referee

    Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya. Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…