video

  1. VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  2. Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  3. VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  4. Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  5. Kwa video za Oktoba 29 zilivyokuwa ni wazi kuwa waliopigwa risasi hawakuwa wahalifu

    Video oct 29 za watu waliopigwa risasi hawakuwa maeneo yaliyo haribiwa ni majumbani inaonesha waliuwawa kwasababu hawamtaki samia na sio waharifu. Watu walio uwawa walimkataa samia ndio maana amewauwa na sio kwasababu walichoma vitu au kupiga askari na hawakuwa tishio kivyovyote hata hivyo...
  6. SI KWELI Mistari hii kwenye alama hii inamaanisha kila mstari ni mita 100

    Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao wa facebook pamoja tiktok ikielezea kuhusu matumizi ya alama yenye nembo 50 na matumzi yake katika barabara. Kwa kutumia ufuatiliaji kupitia account rasmi ya RAS Tanzania (Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani Tanzania (Tanzani Road...
  7. Video: Samia amtambulisha mwanae Wanu Hafidh kwa bwebwe. Geuka wakuone, hawajakuona, anafanana na nani .?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
  8. VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  9. AI gani nzuri kutengeneza video na picture ?

    Habari ya mwaka mpya Naomba kujua AI gani nzuri kutengeneza video na picha zikawa km OG
  10. Mpaka Rais anatengenezewa AI video zisizo na heshima hivi na watu wengi wanazifurahia inaonesha kabisa watu hawamuheshimu

    Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia. Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni...
  11. KWELI Video hii ya refa aliyechezesha mechi ya Morocco na Tanzania imetengezwa kwa kutumia akili unde

    Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa mchezo huo ambao ulisha kwa morocco kuondoka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezo huo wa raundi...
  12. Q

    VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  13. Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

  14. Venezuela yashambuliwa na Marekani

    Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
  15. VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  16. Video: Msanii kipenzi cha Gen Z na wimbo wake wa "bonyeza kende"

    Huyu hapa msanii kipenzi cha Gen Z, akitumbuiza goma lake pendwe la "mshike kende, bonyeza pembe, kende ndende ndendeee". show ilipigwa Maeneo ya Gaza kimara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…