Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi.
Soma zaidi...