Akinadada, jana kabla hujaja VETA hapa. Mtu alikuwa akikuangalia hivi, hata kama ni mwanamume akikukosogolea, anasema huyu ni muongo chips. Yaani kabla hujaja hapa ulikuwa kwenye hali ya kuhongwa chips."Lakini the moment umekuja hapa VETA, kijana akikuangalia anaona unafaa kuhongwa mashine...