Baada ya Rais wa Young Africans SC (Yanga), Injinia Hersi Said Ally, kueleza jana maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo, wadau mbalimbali wa soka wameendelea kutoa maoni na mitazamo yao kuhusu mradi huo.
Miongoni mwa waliotoa maoni ni Oscar Nickson, maarufu kama Mwamuzi wa Wakati, ambaye...