uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  2. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan alipohutubia COP31 Nchini Uturuki 🇹🇷

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohutubia viongozi mbalimbali katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali (Antalya Leaders’ Summit) unaofanyika pembezoni mwa COP31, uliojadili masuala ya mabadiliko ya tabianchi, katika ukumbi wa ANFAŞ Antalya Expo Center nchini Uturuki, Novemba 11, 2026...
  3. Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  4. C

    Uturuki,Qatar,Indonesia na Pakistan zimesaini makubalino ya ulinzi ya Badr

    Uturuki, Qatar, Indonesia na Pakistan zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi yanayojulikana kama Badr, yenye lengo la kuimarisha uwezo wa kijeshi na kukuza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo. Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema Jumatano kuwa makubaliano hayo yamesainiwa mjini...
  5. Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  6. Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  7. J

    Ukitaka kujua kuwa Chokochoko dhidi ya Israel kutoka mataifa ya Kiislam ni Quran angalia anachotaka kukianzisha Uturuki

    Uturuki ni Taifa la Kiislam chini ya Edogan, ila wasichojua watu wengi ni kuwa majority ya Waturuki ni Waislamu wa Sufii. Baada ya Utawala wa Kiislamu wa Iran kushika hatamu huko iran na kujiimarisha Kijeshi, Wahafidhina hao wa Kiislamu wakajiona wao ndiyo wamekuwa Wasimamizi wa Kuinua Dola ya...
  8. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria." "Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo,"...
  9. Sasa Magaidi wa Hamas kuhamisha makao yao rasmi kutoka Qatar hadi Uturuki!!

    Hamas inaripotiwa kujiandaa kuhamisha shughuli zake nyingi za siri kutoka Qatar hadi Uturuki, huku ikiendelea na shughuli zake nyingi za umma huko Doha, kulingana na Kan. Mabadiliko hayo yaliyoripotiwa yanakuja huku kukiwa na mvutano na Qatar kufuatia kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama...
  10. Uturuki ilivyozuia mpango wa siri wa Mossad na CIA kupindua serikali ya Iran

    Gazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua serikali ya Iran. Mipango hii pia ilihusisha kumtumia Rais mstaafu wa Iran Mohammed Ahmedinejad kama...
  11. Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  12. Q

    Urusi yaishambulia meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania. Ilikuwa inatoka Ukraine kwenda Uturuki

    Russia imelipua meli yenye bendera ya 🇹🇿 iliyokuwa ikitoka Chornomorsk kwenda Uturuki ikiwa imebeba alizeti. Mlipuko wa drone umeua baharia mmoja =============== Russia struck the Tanzania-flagged cargo vessel ATLAS BE off the coast of Odesa. The ship was sailing from Chornomorsk to Turkey...
  13. Hizi ndio zilikuwa mbwembwe za kusindikiza basi la Uturuki kwenda world cup, leo wametoka mapema na hawajafunga hata sumni

  14. Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  15. U

    Ubalozi wa Israel Istanbul Uturuki washambuliwa na magaidi watatu, Mmoja auawa na wengine wawili wajeruhiwa

    Mtu mmoja ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia majibizano ya risasi na polisi karibu na ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul, gavana wa jiji hilo amesema, akiongeza kuwa maafisa wawili wa polisi walijeruhiwa kwa kiwango kidogo. =========== ISTANBUL, Turkey — One attacker was killed...
  16. SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  17. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  18. Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

    Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
  19. Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  20. R

    Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

    Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mwaka 2023 kwa madai ya kasoro za kisheria. Hatua ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…