uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Dkt. Philip Isdory Mpango ameteuliwa kuwa mkuu wa chuo cha Sokoine SUA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), akichukua nafasi ya Joseph Warioba aliyemaliza muda wake. Uteuzi huo umetangazwa leo Jumanne, Novemba 17, 2026, kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
  2. U

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Hongera kwa kupandishwa cheo Hongera kwa uteuzi Menu Baba Mtakatifu Vatican Kanisa Ulimwengu Chagua lugha yako Youtube Instagram Rss Tafuta Tafuta Le Dieu cachè RatibaPodcast Askofu Joseph Mashaka Triphon, C.S.Sp., Jimbo Katoliki la Nzega, Tanzania Vatican Askofu Joseph Mashaka Triphon...
  3. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  4. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  5. Kikao cha CCM Majuzi, Uteuzi Ulikua Gereshaa, Paulo kaambiwa Azunguke NCHI nzima, Maandalizi ya Nafasi ya Juu !!

    Kuna Ujinga na upumbavu unaendelea kusukumwa na Wahuni , wahuni ambao walimdanganya Magufuli ateke na kuua wapinzani, Wahuni ambao walimdanganya Magufuli awaruhusu shambulio la kumuua Lissu !!. Wahuni hao, kwa sababu mambo yamebadilika Ghafla, wameamza jaramba la kukuweka Paulo kwenye URAIS...
  6. K

    Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
  7. Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

  8. L

    Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Ndugu zangu Watanzania, Ndio Maana huwa Nasema Kuna Watu Wana Chuki Binafsi na Rais Samia Kwa Sababu ya Dini Yake Tu na wala siyo kitu kingine . Kuna watu wanakuwa wanachochea na kujaribu kupandikiza Chuki kwa Watu ili Rais wetu achukiwe na watu kwa sababu tu za kibaguzi Hususani Udini , Ukanda...
  9. Mkurugenzi manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe atemwa. Ni yule aliyemnyima Greda mbunge Ibrahim Shayo

    Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro. Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Moshi. Moja ya jambo alilokemea ni kuwepo na mvutano baina ya...
  10. Uteuzi: Ulega ateuliwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kadogosa Waziri wa Ujenzi, Homera Waziri wa Nishati

    Rais Samia amefanya uteuzi wa viongozi; (i) Masanja Kungu Kadogosa (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi; (ii) Abdallah Hamis Ulega (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Kabla ya uteuzi huu, Ulega alikuwa Waziri wa Ujenzi; (iii) Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameteuliwa kuwa...
  11. Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  12. H

    Prof. Alfred Sife ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa NECTA, Mkunga ateuliwa kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo: (i) Bw. Hamis Abdallah Mkunga ameteuliwa kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
  13. R

    Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

    Eti hakuna haja ya katiba nyingine
  14. F

    Je vijana hasa Gen Z watakubali na kuzuzuliwa na uteuzi wa Ndejembi ili waunge mkono udhalimu?

    Hotuba ya rais Samuya wakati akimuapisha makamu wa rais wa mashaka na mizengwe akisema kuwa wamewapa vijana umakamu. Je, nii ni hila ya kuwahadaa vijana hasa Gen Z kuingia mkenge kuwa wameshirikishwa kwenye uongozi kupitia machawa? Je. vijana watakubali kuwa sehemu ya CCM ambayo ndiyo chanzo...
  15. Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

    Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari...
  16. Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  17. Mbunge Kingu: Mungu Alinifunulia Uteuzi wa Ndejembi na Nilimpigia Simu.Kama nasema Uongo Abishe

    My Take Inaweza kuwa kweli au pia kujikosha Kisiasa. Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amedai yeye ni mtumishi na wiki chache zilizopita alizungumza na Mungu, hali iliyofanya ampigie simu Deogratius Ndejembi kwamba kuna jambo kubwa linaenda kumtokea siku chache zijazo...
  18. Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

    Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe? Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima? Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio? Labda mie na uelewa wangu Duni Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
  19. Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  20. Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…