Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini.
Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini?
Au hawa warembo wameshatuendea kwa babu na kutupika kwenye vyungu nini? :D :D
Mabaharia wenzangu, njooni kwenye...