usimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  2. Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  3. Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  4. J

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
  5. SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  6. Makau Mutua atoa wito kufanyiwa mageuzi katika usimamizi shughuli za uchaguzi

    Msemaji wa kampeni za urais wa Azimio la Umoja Makau Mutua ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi katika usimamizi wa shughuli ya uchaguzi. Mutua amesema Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka inafaa kugatuliwa ili kuimarisha ufanisi na uwazi. Amesema sheria za sasa za uchaguzi zimeipa IEBC mamlaka zaidi...
  7. SoC02 Hospitali za Rufaa kuwaachia majukumu yote ya kitabibu wanafunzi wa udaktari pasipo usimamizi wa kutosha - chanzo cha vifo vingi

    UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao walikuwa wakitoa huduma kwa mgonjwa aliyekuwa kitanda cha pembeni na alicho mgonjwa wangu maneno...
  8. L

    China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

    China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani, kusimamia na kutathimini miradi ya taifa ya ikolojia, na...
  9. SoC02 Umuhimu wa kuzingatia utoaji huduma bora kwa umma kutoka kwa watumishi

    Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
  10. Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  11. L

    Zimbabwe yafanya mkutano wa kilele wa tembo kujadili usimamizi wa tembo

    Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa tembo na hifadhi ya wanyamapori. Mkutano huo utakaoendelea hadi Mei 26 utakuwa jukwaa la kujadili...
  12. H

    Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

    Habarini ndugu wa jukwaa hili la Tech, nimeleta mfumo wa usimamizi wa taasisi za kidini hususani makanisa. Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mifumo rasmi ya usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo ambapo kwa sasa mfumo huu...
  13. A

    Natafuta Mfamasia kwa ajili ya Usimamizi wa Pharmacy

    Kama nilivyoeleza hapo juu. Nahitaji Pharmacist mwenye (degree holder). Eneo La Kazi ni Zanzibar.
  14. Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Katika kiwanda chetu cha uzalishaji vifaa vya ujenzi wa kisasa kwa kutumia saruji (precast) tunatafuta msimamizi "manager" wa kiwanda. Kiwanda kina uwezo wa kuwa na wafanyakazi wa uzalishaji 21 na wasio wazalishaji 3 kwa shift moja. Tunataraji kifikie uwezo wa...
  15. Resolution Insurance Placed Under Statutory Management For 12 Months

    Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday. According to the...
  16. Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  17. Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  18. Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  19. Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  20. Rais Samia anaonekana si mtu wa kujisifu; shida kuna walakini kwenye usimamizi wa fedha za umma

    Jambo la kuweza kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan inaonesha dhahiri ni mpole sana na ni rais asiyependa makuu kwa viongozi wa chini yake anaowaongoza hili kwa kifupi yeye linampa heshima kubwa kwa kusifu na kuabudiwa kuwa anaupiga mwingi huku wahuni wakila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…