ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  2. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  3. L

    Uhusiano wa China na Afrika waweka mfano mpya wa ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia. Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
  4. Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  5. S

    PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  6. Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
  7. L

    Uhusiano wa Wenzi wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya China na Afrika wajenga mustakabali wa pamoja wa watu bilioni 2.8

    Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
  8. PostGE2025 Padre Kitima: Sisi tunamiliki Hospitali, waliletwa majeruhi, wakasema wasitibiwe tunataka kuwaona Mochwari

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.” Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali...
  9. PostGE2025 Tume ya Uchunguzi isiache kuhoji waliosimamia Uchaguzi. Waliosimamia wapo tayari kutoa ushirikiano

    Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
  10. PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  11. Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  12. L

    Kutoka darasani hadi kwenye kilimo, ushirikiano wa China na Rwanda wakuza biashara ya kilimo ya uyoga ya Rwanda

    Katika vilima vya kijani vya tarafa ya Bumbogo, wilaya ya Gasabo, nje kidogo ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, kilimo cha uyoga na ujasiriamali vinazidi kustawi, vikibadilisha maisha na kuboresha mapato ya wananchi. Katika kiini cha mabadiliko haya yupo mwanzilishi na mmiliki wa Triple S Company...
  13. L

    Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  14. Kuna neema inakuja kwa baadhi ya vijana, katika ushirikiano wa kimataifa

    Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya...
  15. Iran imesema itasitisha ushirikiano wake na IAEA baada ya Umoja wa Mataifa kuzuia uondoaji wa vikwazo

    Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran. Katika taarifa iliyochapishwa na...
  16. China na Afrika zaimarisha ushirikiano wa kunufaishana wa kibiashara

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, katika miezi minane ya kwanza ya mwaka 2025, thamani ya jumla ya biashara ya nje ya China ilifikia yuan trilioni 29.57, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Mauzo...
  17. Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  18. Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  19. Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore

    Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
  20. Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Japan waahidi kukuza ushirikiano

    MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…