ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  2. L

    Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  3. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  4. H

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  5. JWTZ kuimarisha ushirikiano na Vyuo vya Sayansi

    👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija na ufanisi, hasa katika nyanja za sayansi na teknolojia. 👉 Jenerali Mkunda alisema hayo...
  6. USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

    Friends and Our Enemies, "How you do anything,is how you do everything"...Dante. Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani...
  7. Fursa ya ushirikiano wa kibiashara

    Wasalaam! Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako. Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya kazi nashindwa kujigawa, ninatafuta kijana mwenye wazo la biashara lenye tija na uwezo wa kusimamia biashara hiyo kwa uadilifu, uwajibikaji...
  8. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  9. Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
  10. Rais ni nembo Ya nchi, Tumpende na kumpa ushirikiano wa kutosha

    Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi. Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo...
  11. CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

  12. Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania ina dhamira ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo na Serikali ya Jamhuri ya Comoro, ili kuleta manufaa ya pamoja kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Mhe. Balozi Omar...
  13. Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  14. L

    China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  15. R

    Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  16. H

    Tanzania Yasisitiza Kuimarisha Ushirikiano wa Kimkakati na India

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan katika sekta za biashara na uwekezaji, ili kuchochea maendeleo endelevu na kuboresha maisha ya wananchi...
  17. Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya AFRICA50 pamoja na wanahisa wengine

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
  18. Sababu za Marekani kukosa ushawishi dhidi ya China katika ushirikiano wa miundombinu na Afrika

    China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani. Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
  19. H

    Tanzania na Marekani zaazimia kuimarisha ushirikiano wa kimkakati

    TANZANIA NA MAREKANI ZAAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo wamefanya mazungumzo na ujumbe maalum wa Wajumbe 11...
  20. H

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…