ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgunda na Matola wanatosha tuwape ushirikiano

    Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu! Unakuta mtu anamchukia Matola! Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu! Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo matola amefanya? Ndugu zangu tuache kuamini Kila mzungu ni Bora kuliko sisi, na kuendelea kutumia...
  2. L

    Tuendelee kusubili kuhesabiwa na tutoe ushirikiano kwa makarani wa sensa watakapotufikia

    Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba tutambue kuwa sote tutafikiwa na kuhesabiwa bila kuachwa Wala kurukwa kaya yoyote Ile Ndugu zangu pamoja...
  3. Tanzania, Oman kuongeza maeneo ya ushirikiano

    Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni, Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...
  4. Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa. Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa. Nakusihi uonyeshe...
  5. Wamiliki wa gari namba D tupeane ushirikiano

    Bila shaka mko poa, Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya kuhamia namba "E" au kwa sababu tofauti. Nitawatafutia wateja wa gari husika kutokana na network ya...
  6. L

    Miaka 20 ya Umoja wa Afrika na ushirikiano kati yake na China

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yameonesha kupatikana kwa mafanikio makubwa, lakini pia kuna baadhi...
  7. J

    Waziri Nape ahamasisha wananchi kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa 2022

    WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
  8. L

    Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  9. Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  10. Polisi hamasisheni bodaboda kutoa ushirikiano kwa kukamatana pale mwenzao anapogonga au sababisha ajali

    Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia. Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza...
  11. L

    Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  12. Waziri Dkt. Stergomena ashiriki ufungaji zoezi ushirikiano imara Nchini Uganda

    Waziri akiwasili kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa Tanzania walioshiriki Zoezi la Ushirikiano Imara. WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki hafla ya ufungaji wa zoezi la kimedani la ‘Ushirikiano Imara’ lililofanyika Jinja Nchini Uganda...
  13. Jamani mimi mgeni naomba ushirikiano wenu

    Habari wakuu nimefurahi kweli kujumuika na nyie nimeshindwa kuandika mengi vidole vinauma kwa kutype I hope tutakuwa pamoja katika mada mbalimbali jukwaani
  14. L

    Ushirikiano kati ya Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) na China wahimiza maendeleo ya miundombinu barani Afrika

    Fadhili Mpunji Mwishoni mwa mwezi Mei, Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) iliitisha mkutano wake wa mwaka mjini Accra, Ghana kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya benki hiyo, na mchango wake katika kuisaidia Afrika kukabiliana na changamoto mbalimbali. Kauli mbiu ya mkutano wa safari hii...
  15. CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
  16. L

    China na Afrika zaimarisha ushirikiano katika sekta ya anga ya juu

    Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia wanaovalia sare wanarekodi data iliyorejeshwa na satilaiti ya kwanza ya Ethiopia ETRSS. Satelaiti hiyo...
  17. L

    Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
  18. L

    Hainan – moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano wa sayansi ya kilimo kati ya China na Afrika

    Kisiwa cha Hainan hakifahamiki kwa waafrika wengi, kama ilivyo miji mingine ya China kama vile Beijing, Shanghai au Guangzhou, lakini inaaminika kuwa katika siku za usoni, kisiwa hiki kitakuwa moja ya maeneo mapya yenye motomoto ya ushirikiano kati ya China na Afrika, haswa katika sekta ya...
  19. Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA)

    Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji...
  20. TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

    Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO Mobile, mtengenezaji wa simu za kisasa wa hali ya juu kabisa tulitangaza kuwa teknolojia ya kichujio cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…