ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Mwigulu akutana na balozi wa Sweden, wajadili kuimarisha ushirikiano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Ingrid Johansson, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 20, 2026. Mazungumzo hayo yamejikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kupanua...
  2. Akwilapo asisitiza ushirikiano wa serikali na sekta binafsi kukuza sekta ya milki

    DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. DKt Leonard Akwilapo, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kukuza sekta ya Milki nchini, akieleza kuwa sekta hiyo ni kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi, uzalishaji wa ajira...
  3. Tanzania yaendelea kuimarisha uwekezaji na ushirikiano wa biashara na Cuba

    Tanzania na Cuba zinaendelea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kwa kuendeleza fursa za uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kiteknolojia. Ushirikiano huo unalenga sekta muhimu zikiwemo afya, elimu, kilimo, utalii, utafiti wa kisayansi na uzalishaji wa viwandani, huku ukifungua...
  4. Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  5. Maafisa wa Ulinzi wa EAC wakutana kupanga vipaumbele vya Ushirikiano wa Ulinzi wa Kikanda

    Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa ulinzi wa kikanda kwa kupitia mapendekezo yanayolenga kuimarisha usalama wa pamoja, yakiwemo Mkataba wa Ulinzi wa Pamoja, mafunzo ya kijeshi na ushirikiano kati ya jeshi na raia. Mapendekezo...
  6. Kama Twaha amekamatwa basi Hilda Newton ni vizuri ukabadili location au ukajileta mwenyewe kumuangukia Bi. Kizimkazi

    Hamjambo! Ni ngumu kumkamata mwanamke kwa sababu vishawishi vya mwanamke nje ni vichache ukilinganisha na sisi wanaume. Mwanamke anauwezo wa kukaa na kujichimbia ndani kama akipewa mahitaji ya msingi mfano chakula, bundle la internet na kifurushi cha Luninga. Ushuani wanawake wanaweza kukaa...
  7. A

    Jukwaa la ma-CEO lasisitiza ushirikiano kulinda biashara dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi

    Jukwaa la Watendaji Wakuu Tanzania (CEOrt) limetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ili kulinda biashara na shughuli za kiuchumi dhidi ya majanga yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi yanayoongezeka. Akizungumza katika mkutano wa wanachama wa CEOrt Oktoba...
  8. EAC Kuimarisha Ushirikiano Sekta ya Utalii Kuelekea AFCON 2027

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti, masharti ya utoaji wa leseni na viwango vya ubora wa huduma na kuitangaza EAC kama kituo kimoja cha utalii, ili kuongeza...
  9. N

    Tunatafuta Kampuni za Habari au Waandishi wa Habari Huru kwa Ushirikiano wa Kimkakati (Strategic Partnership).

    wakuu kwema, tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  10. L

    Kadri ushindani kuhusu madini ya Afrika unavyozidi kuimarika, ni njia gani sahihi ya ushirikiano inayohitajika?

    Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
  11. Tanzania Yaeleza Mafanikio Ya Kiuchumi, Ushirikiano Na Taasisi Za Kimataifa

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha. Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
  12. M

    Mhe Nyansaho Aongoza Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji

    Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda Na GULATONE MASIGA Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
  13. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  14. Waziri Ulega aahidi ushirikiano kufikia malengo ya Wizara ya Katiba na Sheria

    Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia malengo na matarajio yaliowekwa na Serikali. Ulega ameyasema hayo tarehe, 1 Oktoba, 2026 Mtumba...
  15. B

    Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi

    28 September 2026 Muscat, Oman Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulifanyika Jumatatu huko Muscat 28 September 2026. Upande wa Oman...
  16. Netanyahu kakutana na raisi wa UAE leo kudumisha ushirikiano ila wewe mwarabu wa yombo dovya unajifanya kutukana wayahudi mitandaoni😁

    Endelea kupiga ramli😁
  17. Tanzania na Qatar Zasaini Mkataba wa Ushirikiano

    Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kisiasa na kidiplomasia baina ya Qatar na Tanzania. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa...
  18. H

    Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  19. H

    Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York...
  20. CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…