usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali: Usajili wa taasisi ya kidini (FBO) zaweza chukua hata muda wa serikali kukaa madarakani, yaani miaka mitano ndipo isajiliwe

    Novemba 2024 ni mwaka mmoja tokea kuanzishwa na kusajili taasisi ya kidini wizara ya mambo ya ndani kitengo cha msajili wa taasisi zisizo za kiserikali. Leo hii nimefanya followup kutaka kujua nini kinakwamisha taasisi yetu isisajiliwe. Afisa akajibu kuwa majibu yanapatikana kupitia mfumo wa...
  2. SI KWELI Yanga kufungiwa kufanya usajili na FIFA ni Propaganda za Waandishi

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Taarifa kutokea Twitter ya Privadinho ikikanusha taarifa zinazoelezea sakata la Yanga kufungiwa kusajili sababu ya kushindwa kulipa deni ya Bechem United. Tazama hapa chini.
  3. CAG wa Usajili kwa Clubs za Simba na Yanga

    Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali. USAJILI WA DUBE Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
  4. Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

    I salute you kinsmen. Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe. Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka. Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli. Inasemekana...
  5. C

    Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

    Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
  6. Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

    Msaada ndugu zangu pesa inaweza kurudi
  7. Tetesi: Kocha wa Bayern, Vicent Kompany anamtaka beki wa kushoto wa Mamelodi, Mudau dirisha dogo la usajili mwezi Januari 2025

    Taarifa za usajili nchini Afrika Kusini zinamtaja Kocha mkuu wa klabu ya FC Bayern München Vicent Kompany kuwa amepanga kumsajili mlinzi wa pembeni wa klabu ya Mamelodi Sundowns FC raia wa Afrika Kusini Khuliso Mudau katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari. Awali Kompany alidhamiria...
  8. A

    KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  9. Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  10. Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  11. Car4Sale Okoa zaidi ya milioni 1, pata ist chasis kwa 17.5m tu + usajili

    Ndio its a fresh import hii Safari tembo mafuta Mbuzi kazi ni kwako.... Machine ni YA 2005 ina km 58,000 CC 1290 na imetoka Japan juzi tu bado inanukia Ki Japan Japan... Service yake haizi 100K oil Filter 10K, Engine Oil Mafuta ya Kula Air Cleaner unapuliza Labour Charge 5K.. Sasa ukianza...
  12. SAIKOLOJIA YA SOKA: Usajili wa Elias Mpanzu Simba SC ni usajili wa kisiasa ili kuwapumbaza mashabiki na wanachama kuficha makosa, Mpanzu ni Garasa

    Kama kawaida wakuu. Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani. Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu. Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
  13. Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

    Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch , maana kwa nilivoona kwenye mechi ambazo amecheza inaonekana energy yake ishashuka kabisa, ila kwa...
  14. MSAJILI MSITOE USAJILI WA KANISA WALA SEHEMU YA IBADA KWA BW C.GODLOVE..MSSISEME AYUJAWAMBIA YA BUZA MLIYASIKIA MKAYAONA

    KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI NAOMBA KABLA...
  15. G

    KERO Responded RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa; nimelipa Tsh 12,000 kwa vyeti viwili lakini majibu sijapata

    Ndugu zangu, Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo nakumbuka miaka mitatu nyuma tulihakiki vyeti kwa Tsh 2000. Leo imefika 6000 lakini huduma zimekuwa...
  16. Tetesi: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu

    Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo. Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu...
  17. L

    Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  18. Dirisha la Usajili limefungwa, Sancho atua Chelsea, Arsenal yambeba Sterling

    Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United ilipomnunua kwa pauni Milioni 73 kutoka Borrusia Dortmund. Upande mwingin, Raheem Sterling wa...
  19. Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

    Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka. NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.
  20. Tetesi: Chelsea mbioni kumsajili Jadon Sancho

    Chelsea imeonesha nia ya kumsajili winga wa Manchester United, Jadon Sancho ambaye pia anawaniwa na Juventus. Inadaiwa kuwa Raheem Sterling wa Chelsea pia anaweza kuwa sehemu ya dili litakalomeleka Sancho Chelsea, hiyo ni kwa kuwa hayumo katika mipango ya Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca Klabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…