usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani. Onana ameungana na...
  2. Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
  3. Simba vs Yanga, Nani Amekamata Usajili Dirisha Hili?

    Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC. Chini ni mtazamo...
  4. Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
  5. Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  6. K

    Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
  7. Kwa huu usajili wa the red devil ubingwa lazima

    Msimu utakua wa moto maniue akichukua ndooo UCL na upuuzi mwingine
  8. Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  9. Kwa usajili wa timu yako ya Bongo na Ulaya taja Top 3 yako na timu moja unayodhani itashuka daraja

    Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi List yangu… 1. Man U 2. Liverpool 3. Man City Itakayoshuka daraja Arsenal Listi yangu ya Bongo 1. Simba 2. Yanga 3. Azam FC Itakayoshuka daraja Singida
  10. Kwa huu usajili wa Simba, Azam na Yanga, tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 2025/2026

    Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
  11. J

    Simba sc imekamilisha usajili wa Alassane Kante

    Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi Cha simba msimu ujao, je unafikiri kwa sajili hizi ambazo simba inaendelea kuzifanya zitaweza...
  12. Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  13. KWA USAJILI HUU LIVERPOOL NI FAVOURITE WA UBINGWA EPL 2025/2026

    Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao. Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:- Frimpong Kerkez Wirtz Ekitike Msimu...
  14. Kuna mchezaji anaitwa mousa cisse katika mechi ya CECAFA leo, bonge la mchezaji simba usajili huo

    https://youtu.be/8QcNer8ha9Y?t=95
  15. Aina za Usajili wa Biashara na Faida Zake

    Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara. A. Usajili wa Jina la Biashara...
  16. Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  17. Mashabiki wa Arsenal Kenya wafanya party kusherehekea usajili wa Viktor Gyökeres

    Wakuu! 😄 Mashabiki wa Arsenal kule Kenya wameamua kupiga party ya nguvu kusherehekea usajili wa mshambuliaji hatari Viktor Gyökeres!
  18. Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  19. Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  20. M

    Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

    Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…