usaili

  1. Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  2. Finland yafunga mpaka wake kwa Warusi wanaokimbia usaili jeshini

    Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine. Wachague kwenda kufa au jela miaka kumi.............................. Kuna taarifa vijana...
  3. Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
  4. M

    Nimeitwa kweny usaili DUCE ila sijapewa namba ya mtihani.

    Samahani nimeitwa kwenye usaili ambao utafanyika tarehe 14/09/2022 chuo cha DUCE, Kwenye tangazo la walioitwa kwenye usaili nipo kwenye nafasi nne nilizoomba ila mpaka muda huu kwenye akaunti yangu ya ajira portal sijaandikiwa namba ya mtihani nimejaribu kuwapigia lakini simu zao hazipokelewi...
  5. L

    Usaili Environmental officer

    Habari wana JF, Niliomba kazi ya environmental officer, na sasa naona mikeka ya utumishi imeanza kutoka, naamini na sisi soon wanatutolea, mwenye possible zozote za wapi nipigie au hata ambaye amewahi kushiriki usaili wa design hiyo msaada tafadhali. Asante
  6. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  7. F

    Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

    Habari zenu wapendwa! Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment. Natanguliza shukrani
  8. M

    Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  9. Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  10. A

    Naomba kufahamishwa kama TAA imeshaita watu kwenye usaili

    Habari, Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili? Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
  11. SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  12. N

    Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
  13. Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    ALERT 🚨 🚨 🚨 Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa.. amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
  14. J

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  15. NBS, Mchakato wa usaili una mapungufu

    Leo ni siku ya USAILI kwa watu walioomba nafasi za ajira za ukarani wa sensa itakayofanyika tarehe 23 Agosti 2022. Nilichoshuhudia ni uwepo wa dosari katika mbinu ya kuwapata watakaopewa ajira ya muda katika zoezi hilo. USAILI kwa njia ya mdomo na walioteuliwa kufanya usaili. Wasimamizi wa...
  16. Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  17. Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Jiangalieni hapo kama mpo.
  18. L

    Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
  19. Usaili Wa Watendaji Chamwino

    Majina Haya Hapa
  20. Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…