usaili

  1. M

    Kama mwalimu nisome wapi ili nijiandae na mtiani wa usaili (aptitude test)?

    Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu. Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya Ajira wamekuwa na maswali mengi kuhusu mada zitakazojumuishwa kwenye mtihani wa maandishi (Written...
  2. Kero: Mfumo mpya wa usaili wa watu kupangiwa kufanya usaili mikoa mbalimbali unagharimu na kuumiza sana watu

    Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi. Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi? Yaani...
  3. G

    WALIMU WAITWE KWENYE USAILI LA SIVYO MSONGO UTAWAUA

    Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
  4. M

    Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  5. G

    Hatimaye Walimu wapangiwa vituo vya usaili

    Tume ya uchaguzi imewapangia walimu walioomba ajira za tamisemi vituo vya usaili, kuona kama umeitwa ingia Ajira portal sehemu ya Notification.
  6. SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

    Watu wanachapana mikono huko, yaani ni noma sana.
  7. G

    Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  8. Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  9. Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  10. N

    Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  11. Jiandae kwa usaili kada ya afya

  12. Waliowahi kifanya usaili wa kidigitali/ kielectronic

    Kufuatia tume ya Utumishi wa mahakama kutoa majina ya watakao fanyiwa usaili kufanyika kwa njia ya kielectroniki. Karibuni wakuu tupeane maujuzi jinsi ya kutoboa kwenye huu usaili kwa wale wenye uzoefu kidogo. Na ni vitu gani vya kujiandaa navyo wakati wa usaili
  13. KERO Polisi fanyeni usaili wenu kikanda, kutoa watu mikoa tofauti kufanyia usaili Dar ni usumbufu mkubwa

    Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa na haki, mpate watu sahihi.
  14. Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM...
  15. Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  16. Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
  17. Kwenye Usaili wa Udereva wa Serikali mambo hani huzingatiwa?

    Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
  18. G

    Usahili jeshi la zima moto na uwokowaji

    USAHILI JESHI LA ZIMA MOTO NA UWOKOWAJI
  19. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  20. D

    Usaili wa kazi uliyokuwa unafanya mwanzo kabla ya kushushwa cheo

    Habari wakuu, Ninaomba ushauri wa jambo hili. Miaka miwili iliyopita niliashushwa cheo kutokana na kutoelewana na mfanyakazi mwenzangu ambaye hayupo tena kwenye kampuni yetu. Sasa nafasi hiyo imetangazwa tena ila kwa mkoa mwingine. Na mmoja kati ya wahusika wa usahili ni kiongozi aliyekuwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…