usaili

  1. Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  2. J

    Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  3. H

    Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  4. M

    Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  5. Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  6. Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
  7. N

    Usaili wa T. R. A ulivurugwa

    Eid Mubarack ndugu zangu watanzania na Viongozi wetu mbalimbali mliopewa mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa letu,nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Leo naomba niongee na Viongozi wetu hawa wakiongozwa chini ya mh @samia_suluhu_hassan Mh Rais na waziri mwenye dhamana ya...
  8. Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  9. Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  10. Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  11. Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...
  12. R

    Orodha ya walioitwa kwenye Usaili wa mchujo TRA

    PDF
  13. Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    Mambo vipi wakuu? Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu. Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
  14. M

    Usiende kwenye usaili wa Mchujo bila kusoma Makala hihi na kupata matibabu haya

    https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
  15. M

    Usaili TRA tax manager and internal affair officer position mock test

    Wakuu Habari zenu. Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma. IMPORTANT ANNOUNCEMENT ALL CANDIDATES EXPECTED TO SIT FOR THE TAX MANAGEMENT OFFICER APTITUDE TEST MUST TAKE THIS TEST:πŸ‘‡πŸ‘‡ πŸ“Œ TAX MANAGEMENT OFFICER II...
  16. Msaada: maswali ya usaili (Written interview - economist)

    Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
  17. S

    Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
  18. D

    Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

    Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote? Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya...
  19. M

    Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  20. Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…