usaili

  1. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  2. Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo. Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake. Na tena nakazia. Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
  3. Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  4. H

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  5. Mliofanya Usaili leo Utumishi (Oral Interview) tupeni habari Usaili ulikuwaje

    Wasaka shavu wote mlikuwa mnapambania keki Serikalini Leo, Usaili umeendaje huko? Tupeni info's basi, maana najua hayo maswali huwa wanarudiaga hamna mpya chini ya jua.
  6. Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

    Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
  7. Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  8. Usaili TRA

    In God, we trust.
  9. Waliofanya usaili wa nafasi ya Data Officer MDH

    Heshima kwenu wakuu, Kwa tuliofanya interview ya Practical nafasi ya Data Officer MDH pale Kijitonyama kuna yeyote ambae kashapigiwa simu kwenda kwenye Oral Interview?
  10. Majina ya walioitwa kwenye usaili manispaa ya Temeke-postikodi

    Wale wa manispaa ya Temeke kwenye ukusanyaji anwani za makazi na postikodi majina haya hapa
  11. J

    Nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE

    Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written. Siyo mbaya kwa waliofanikiwa...
  12. Usaili udom

    Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
  13. Usaili kada ya Business System analyst

    Wadau naomba hints wenye uzoefu kada ya ICTO BUSINESS SYSTEM ANALYST...hasa kwenye practical nipitie vitu gani?Msaada
  14. Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  15. Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi? Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
  16. Majina ya walioitwa usaili TANAPA

    Habari wana jamii forum, Walioitwa kwenye usaili TANAPA mkeka huo hapo
  17. Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

    Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E. Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo...
  18. PCCB usaili Dodoma

    Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
  19. R

    Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

    Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu. Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu. Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
  20. H

    Udhalilishaji katika Usaili unaofanyika na Sekretarieti ya ajira

    Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752. Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…