usa

  1. Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

    Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...
  2. Siku yangu ya kwanza kwenda USA yaliyonisibu

    Nilikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, nilipata mualiko kutoka kwa mwanafamilia. Niliingia American Embassy nikajaza fomu wakati huo kila kitu kilikua manually. Baada ya kujaza fomu na kuikabidhi na passport yangu niliitwa dirishani na mama wa Kihindi. Aliniuliza maswali mengi ya course...
  3. Is USA pushing Tanzania to adopt her title IX of education amendment(1972)??

    Why is USA trying to intimidate Tanzania sovereignity by imposing laws suitable for USA to be adopted in Tanzania? Is this acceptable in the eyes of international community? Every Nation is free to make her own laws and regulations according to the natural existing circumstances. Tanzania...
  4. Kwani marekani (USA) kuna nini cha kutishia watu wasiende?

    Marekani kuna masikini na mafukara waliopigika na ambao hawana tumaini la kutoka kimaisha maisha yao yoote. Marekani kuna magereza mengi kuliko vyuo na taasisi za kutoa elimu. Marekani ndo nchi inayoongoza duniani watu kuuana kwa kutumia bunduki, n.k. Kwani Marekani ni mbinguni? Au ukiingia...
  5. Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
  6. Bunge letu litoe tamko kuwa USA sio mbinguni, kwanini wampige mtoto wakati baba yupo?

    Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?. Bunge letu naliomba litoe tamko...
  7. Ubalozi wa USA Tanzania unahusika katika vikwazo hivi

    Naamini Ubalozi wa Marekani nchini unahusika kwa asilimia 100% kutokea yaliyotokea jana ambayo kila mmoja anajua kilichotokea. Kama kuna makosa yaliyofanyika chini ya Makonda kwa kudhurumu haki za kuishi za wengine ushahidi uwekwe wazi Watanzania tujue.
  8. Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
  9. Thanks USA, God bless you

    USA you are truly a just society I have started this thread so that you can see our happy reactions on what you have done today on these people who deliberately insults our constitution here in Tanzania. At first we thought our top leaders would respect rule of law and diginity of human kind...
  10. Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

    Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8 Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi...
  11. M

    Putin anajua kutumia Furusa ktk mgogoro wa Iran vs USA

    Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan. Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na kutafuta amani eneo hilo kumbe yeye ana issue zake za Bomba la gesi kutoka Russia hadi Turkey...
  12. Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  13. N

    USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

    Mimi naona Trump akianzisha ugomvi hamalizi .yupo tayari
  14. Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

    On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni...
  15. Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

    Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais". Hayo yamejiri kufuatia ripoti ya mashambulio katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Baghdad, ambayo ilisema...
  16. N

    Trump most admired men in USA .Gallup

    inakuwaje mtu wanaemchukia kutwa drama anakuwa the most admired men in USA.Obama almost tied with Trump .
  17. Procurement Specialist at Cardno Emerging Markets USA, Ltd

    Cardno Emerging Markets USA, Ltd. (Cardno) is seeking a Procurement Specialist to support an upcoming World Bank funded Water Sector Support Project in Tanzania. The Procurement Specialist will perform the following Assist in the management of the entire procurement process, and execution and...
  18. Finance Specialist at Cardno Emerging Markets USA, Ltd

    Cardno Emerging Markets USA, Ltd. (Cardno) is seeking a Finance Specialist to support an upcoming World Bank funded Water Sector Support Project in Tanzania. The Finance Specialist will perform the following: Assist in the management and execution of day-to-day financial management and...
  19. Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

    Kupitia mitandao yake ya Kijamii, Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums Maxence Melo ameandika... ‪DAKIKA CHACHE KABLA YA KIKAO IKULU YA MAREKANI...‬ Ujumbe wangu kwa vijana: ‪Usikate tamaa - kama unaamini katika jambo, lisimamie‬. Vishawishi vya kukukatisha tamaa havina budi...
  20. Muzungu azuia Wakenya kukanyaga USA- Corruption!

    Kuna rafiki yangu kanitumia hii kutoka Nairobi Kenya, kwamba D.Trump amechoshwa na corruption ya politicians wa Kenya, na sasa hakuna kuingia USA, na wanavyopenda kusafiri kwa Muzungu lazima watachanganyikiwa,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…