urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
  2. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lailaani Urusi kuikalia Crimea

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuilaani hatua ya Urusi kuukalia mkoa wa Crimea na mji wa Sebastapol nchini Ukraine na kuitolea wito kuondoka mara moja. Azimio hilo lilipitishwa jana, katika siku ambayo pia Rais Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine, Volodomyr Zelensky...
  3. JamiiForums Tanzania Tusiwaone Urusi kama wastaarabu kumbe nao ni wachokozi na watu wa maslahi yao tu

    Kwa sababu za kimaslahi tu kwa kutumia askari wao hatari kabisa hapa duniani GRU,ALPHA na VYMPEL, walizivamia ,nchi nying kibabe tu ili kulinda maslahi yao. Hawa jamaa kwa ukorofi wao walidiriki kuvamia kambi ya Wamarekani kuua makomando wa kimarekani kadhaa kati ya waliokuwepo kuharibu...
  4. JamiiForums Tanzania Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi

    Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi Kampuni ya huduma ya mtandao wa kijamii, Facebook ilisema Jumatano kuwa imesimamisha mitandao mitatu ya akaunti za Kirusi ambazo zilijaribu kuingilia katika siasa za ndani za nchi nane za Kiafrika, akaunti zinazohusishwa na mfanyabiashara wa...
  5. JamiiForums Tanzania Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

    Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo. Kiuchumi walikuwa wana nguvu sana, kiteknolojia walikuwa mbele, nguvu kubwa ya viwanda, kijeshi walikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vikwazo vyaiumiza Urusi, havijaweza kuipinda, yapata funzo

    Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR. Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi. Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…