Salaam JamiiForums.
Kumekuwa na tabia za kuiga,naita za kuiga kwasababu tunapelekeshwa sana na mabandiko ya mitandao huku tukiyachukia majeshi yetu bila sababu za msingi.
Hapa nitaongelea jeshi la polisi ambalo kila siku ,yaani kilwa iitwapo leo hupokea,malalamiko,visa na mikasa isiyo na idadi...