umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. MaAdmin wa Taasisi za umma na mbwembwe zao kwa matukio tofauti

    Habari. Kwenye page za taasisi za umma tofauti nimekutana na picha zikiwa na maneno na misemo mbalimbali. Hii inaleta tafsiri gani? Maendeleo katika Ubunifu? Uhuru usio na mipaka? Au ulimbukeni?
  2. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  3. DC Mnzava ampa Darasa DAS mpya kuzingatia uadilifu na maadili ya utumishi wa umma

    MOSHI- 13/11/2026 Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Mnzava, ameshuhudia uwekaji wa ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi, Bi. Florida Lulandala. Lulandala amepokea Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma chini ya usimamizi wa Katibu Msaidizi Ofisi ya...
  4. M

    Kama unaingiza chini ya milioni 1 hata ukipewa gari bure endelea kutumia pikipiki yako au usafiri wa umma

    Hata upewe gari bure, ni vigumu sana kulimudu kama unaingiza chini ya shilingi milioni moja. Gari lina tabia ya ajabu; ukishalizoea unapatwa na kiburi cha kuona aibu kutembea kwa miguu, kuendesha pikipiki, au kupanda usafiri wa umma. Hapo ndipo wengi huingia mtegoni na kujikuta wakilihudumia...
  5. A

    KERO UTUMISHI huangalia vigezo gani kuratibu Uhamisho wa Watumishi?

    Naomba kupata ufafanuzi kuhusu utaratibu unaotumiwa na Utumishi kuamua muda wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa watumishi wa umma. Inashangaza kuona baadhi ya watumishi wanakamilishiwa mchakato wa uhamisho ndani ya wiki moja au mbili, huku wengine wakisubiri hadi miezi nane au hata mwaka bila...
  6. E

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe? Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
  7. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  8. Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  9. T

    KERO Barabara ya Mbezi Tanki Bovu Sokoni hadi Gold Star kuna kifusi mwezi wa 3 sasa bila utekelezaji

    Barabara hii imemwagwa kifusi kina miezi mitatu sasa yaani tangia ulipotoka utabiri wa El Nino, hiki kifusi kimekuwa mateso makubwa sana kwa watumiaji wa hii barabara. Kwa kifupi tangu kiwekwe barabara haipitiki kwa urahisi na wanaofosi kupita gari zao zinapata matatizo hasa wakati wa mvua...
  10. M

    Umma wa Mtume wetu, Hata la Ushoga halitufanyi kukemea uongozi wa mwenzetu?

    Nafahamu, Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
  11. A

    HOJA Hukumu Kesi ya Tundu Lissu irushwe mubashara kwa maslahi ya umma na kuepusha sintofahamu

    Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko. Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
  12. Wadau Wa Maendeleo Waipongeza Tanzania Kwa Mafanikio Ya Maboresho Ya Usimamizi Wa Fedha Za Umma

    Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
  13. Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  14. Tumieni bidhaa za ndani ,Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba aziagiza Taasisi za umma

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za umma kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini katika ujenzi, ununuzi wa samani na mahitaji mengine, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukuza viwanda, kulinda ajira na kuongeza mapato ya Taifa. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumatano...
  15. Rev Peter Msigwa: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema

    To: My friend Godbless Lema From: Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri. Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya...
  16. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  17. K

    Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  18. F

    PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  19. Je, Demokrasia ni Illusion?Je, Umma unaweza Kuamua mustakabali wa Taifa ama ni kulishana Upepo?

    Mwaka Jana 2025 tarehe kama ya Leo nilikuwa katika viunga vya jiji la Dar es Salaam.Hali ilikuwa shwari na waliokuwa wakishiriki katika mchakato wa uchaguzi walikuwa wakiendelea na kampeni katika hali ya utulivu.Hakuna ambaye aliamini kwamba yaliyotukia tarehe 29Oktoba yangetukia pamoja na kauli...
  20. Kusoma shule za umma Tanzania ni mateso ?

    Wanafunzi wanaoshangilia kumaliza shule kama wendawazimu wehu mpaka wanatukana hovyo inawezekana pia ni dalili ya kwamba kusoma shule za umma ni mateso na wengi wanaosoma huko hawafurahi wala hawapendi ila wanalazimishwa tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…