ulinzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  3. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  4. JamiiForums Tanzania Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

    Ni vyema tusisubiri maafa, tutoe angalizo mapema. Maziko ni kesho Ndugu zetu marafiki zetu wa Kawe Polisi, tunatoka msibani kunasikitisha ukiacha majonzi yanayoendelea. Naamini mmeshapajua hapo msibani karibu na geti dogo la Lugalo. Bajaji kumi kidogo zimeshusha wahuni wanavuta bangi msibani...
  5. JamiiForums Tanzania Makampuni ya ulinzi

    Wadau mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu BAED mwaka 2016 nimejaribu kutafuta kazi kwa udi na uvumba lakini mambo bado ya moto. Nimepost uzi huu ili muweze kunisaidia kujua baadhi ya mambo muhimu kuhusu haya makampuni ya ulinzi na namna wanavyowapata wafanyakazi na mishahara na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Amani iwe nanyi wadau. Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za Wanalubumba humu. Sasa nimeamini kuwa viongozi wa serikali ya awamu ya Tano wanaiogopa kweli ICC na sasa wameanza kutapatapa. Kwanini nasema hivi? Kabla ya...
  8. JamiiForums Tanzania Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Vyanzo vyangu vimenipa habari mbichi Senzo Masingiza yupo chini ya ulinzi katika moja kati ya vituo Dar es Salaam akihojiwa kuihujumu Simba Sc.
  9. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akagua & kufunga Mafunzo ya Kijeshi

    DC Jokate akiteleza majukumu yake kikamilifu kwa kuzingatia falsafa ya Hapa Kazi Tu.
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

    KWA VYOMBO VYA ULINZI Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

    Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu. Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  15. JamiiForums Tanzania Huku 'Mitaani' huwa sijui huwa 'tunadanganyana' tu au labda ni 'kweli' kuhusu Walinzi wa 'Marais' wote duniani na Ulinzi wao

    Humu 'Mitaani' wanasema kwamba..... 1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka 2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao 24/7 huwa wanakunywa tu Kahawa ili Wasinzie 3. Walinzi wa Rais Trump huwa wanasimama nje ya Chumba...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nitapata tabu ya kumpata Waziri wa Ulinzi nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja rekodi ya mahudhurio lakini kumefanyika tukio la kiapo cha uaminifu , ambapo umati wa wananchi hao...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

    Kuna Walinzi wa Marais (Viongozi) fulani duniani kwa mfano wale wa Vladmir Putin wa Urusi, Paul Kagame wa Rwanda na hata Walinzi wa Papa Fransisco ambao 'nimedokezwa' na 'Wabobezi' wa haya 'Masuala' kuwa ndiyo wako 'imara' mno ila kinachonishangaza wana Miili ya 'Kawaida' sana na si ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…