ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  2. JamiiForums Tanzania Biashara yoyote ili ikue na kukomaa inahitaji ulinzi Mkali sana

    Biashara is a hard game, very risk. Kuanzia usimamizi unahitaji ulinzi, wafanyakazi wote wanahitaji ULINZI ili wafanye kazi. Uli usiibiwe unahitaji ulinzi. Mapato na matumizi unahitaji ulizni hasa. Al in all tafuta mfumo thabiti wa kulinda biashara ikue na ikuletee faida.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho va Miaka 60 ya JKT katika Uwanja wa Jamhuri - Dodoma leo terehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema vijana wanaopita JKT wanapaswa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Liberatus Sangu ataka Ulinzi Kwa Watoto wa Kiume Dhidi ya Ushoga

    ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu, amewataka wazazi na walezi nchini kujenga misingi imara ya imani na maadili kwa watoto wao na kuwalinda dhidi ya ushoga. Kiongozi huyo wa kiroho alitoa rai hivo juzi wakati wa sherehe za kumpa daraja. la upadre James Mrema...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Viongozi kutowajibika huvuruga amani

    Msingi mkubwa wa kila taifa ni ulinzi na usalama, kuweza kulinda nchi na mipaka yake ili kuhaikisha usalama unakuepo na nchi inapata amani na kuhakikisha shughuhuri zengine zinaendelea mana bila amani hakuna cha mana ivyo basi mataifa mengi duniani hutumia bajeti kubwa katika ulinzi na usalama...
  7. JamiiForums Tanzania Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita!

    Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi. https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Urusi aonekana hadharani baada ya Wagner kugeuza

    Huyu ndio Wagner walikua wanalalamika kumhusu na kusababisha wambabaishe Putin kwa kuthubutu kutaka kuiteka nchi, jamaa alikwenda underground hadi leo ndio kaibuka na kuonekana akiongea ongea. Nimeona pia humu JF Warusi wa Buza wamechomoza vichwa, walikua kimya juzi. ==========================...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

    Jifunze Kusoma Alama za Nyakati.. Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo.. Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Kaini mtoto wa Adamu alilaaniwa baada ya kumuua Ndugu yake Habili. Alilaaniwa Ktk...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini

    UTANGULIZI Suala la usalama wa abiria ndani ya vyombo vya usafiri ni muhimu sana na linapaswa kupewa kipaumbele zaidi tofauti na jinsi ambavyo limekuwa likisimamiwa na mamlaka husika (Road traffic police), maana abiria ni watu na watu ndiyo nguvu kazi ya taifa letu katika mambo yote. Lakini si...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Ulinzi NATO kutofautiana njia za kijeshi dhidi Ya Russia, ni Dalili ya Ushindi Kwa Russia?

    Ladies and Gentlemens, Mawaziri wa Ulinzi Jumuiya ya kujihami NATO Jana wameshindwa kuafikiana na kua na msimamo wa pamoja juu ya hatua muafaka za kijeshi zinazokusidiwa kuchukuliwa dhidi Rassia yenye nguvu Zaidi. Je, kuna wanachama ndani ya Jumuiya ya NATO ni waoga au ni Marafiki wa Russia...
  13. JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Bandari zetu kubinafsishwa kwa muda na 'conditions' ambazo hazijulikani, tuviachie vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Asalaam Aleykum wana jamvi, Ama baada ya salamu hizo nidondoke kwenye mada tajwa hapo juu. Kiukweli suala la kubinafisha (??!kumilikisha) Bandari zetu, ni suala ambalo limeibua hisia za Watanzania wengi wazalendo wa dhati (na wasio na uzalendo wa dhati). Ni suala ambalo kwa kweli kwa kila...
  16. JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

    Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority. Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Ulinzi wa Bima kwa mtu wa tatu

    Utangulizi Maana ya Bima Bima ni mfumo wa ulinzi au fidia ambao unamuwezesha mtu au shirika kulinda mali zao au kujilinda dhidi ya hatari au hasara ambazo zinaweza kutokea. Kuna aina mbalimbali za bima mfano bima ya Afya, bima ya vyombo vya moto, bima ya maisha, bima ya moto n.k. Aina ya bima za...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi mpya wa Rais Samia, leo Juni 8, 2023, Prof. Abel Makubi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa MOI

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi kadhaa, amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela...
  19. JamiiForums Tanzania Idara za Ulinzi na Usalama za Marekani ziliwahi kuikataa DP World kwa kuhofia kuingiza Magaidi na Silaha

    Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…