ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali. Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Private Maritime Security Companies (Makampuni Binafsi ya ulinzi wa meli)

    Private Maritime Security Companies (PMSC) haya ni makampuni binafsi ya ulinzi ambayo hukodiwa na mashirika ya meli, ambapo huweka walinzi (Security guards) wenye mafunzo maalumu kwenye meli na husafiri na meli kwa ajili ya ulinzi wa sehemu hatarishi na kuzuia wazamiaji, maharamia. Makampuni...
  3. JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
  4. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuomba msamaha vijana kwa kuwakosesha fursa ya kuajiriwa kwenye vikosi vya ulinzi na usalama kwa zaidi ya miaka 8 nchini

    Kupitia bunge leo kupiga kura ya kuadhimia kuondoa kipengele cha sharti mwajiliwa wa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama kupita jkt au jku, serikali inapaswa kuomba msamaha maana kigezo hiko kimekoseha maelfu ya vijana kupambania fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo hivyo. Imagine mtu aliyemaliza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apiga kura kukataa azimio la Bunge la kufuta kigezo cha JKT kuajiriwa kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akipiga kura ya hapana kutounga mkono azimio hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  10. JamiiForums Tanzania Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi Linapaswa Kusimamia Ulinzi na Kulinda Usalama, suala la Maandamano Kauli ya Chalamila Inautata

    Jeshi La Ulinzi na Usalama ni kwaajili ya wananchi. Kauli ya Jeshi kufanya usafi baada ya tangazo la maandamano ni mara ya pili sasa, hii ni kwaajili kuwapa hofu wananchi katika kuandamana. Tunajua Maandamano yanamadhara yake makubwa lakini Jeshi la Ulinzi na Usalama tunaomba msimame kulinda...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  15. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

    Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo 1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia? 2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.? 3. Nyama mnapewa bure? 4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.? 5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.? 6...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuendelea kuimarisha Ulinzi Kwa kutoa vitendea kazi Kwa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo Januari 12, 2024 wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  18. JamiiForums Tanzania Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  20. JamiiForums Tanzania RPC Simiyu asema wanafanya uchunguzi aliyefariki akiwa chini ya ulinzi, ndugu wapeleka mwili Bugando

    Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tukio la kifo cha Limbu Kazilo, Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Wilaya ya Bariadi ambaye inadaiwa amepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi hilo ambapo ndugu wa marehemu wanadai kifo hicho kimesababishwa na kipigo alichokipata kutoka kwa Askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…