ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

    Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ? Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Chaumma walipata kura ngapi kuwawezesha kupata wabunge viti maalum?

    Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Picha mbalimbali za Ndege wanaopatikana ulimwengu

    I real love birds
  4. JamiiForums Tanzania Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

    Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao. Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

    Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa ! Vijana mnaoishi kingono na wanawake, na wanawake mliowekwa kimada fanyeni mpango mfunge ndoa, si...
  6. JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi...
  8. JamiiForums Tanzania Vizazi vyenye Bahati toka kuumbwa kwa ulimwengu, Je kwanini sio kizazi chetu hiki ?

    Wakuu salama. Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata. Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu) angalia watu walivyoshuhudia miujiza na matendo makuu ya Mungu. Tazama kizazi kitakachoona mwisho wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni uvumbuzi upi unakushangaza sana katika ulimwengu wa teknolojia?

    As salaam alaykum. Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome. Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye interview hii atuwekee hapa in full...Warioba na Jenerali Ulimwengu

    Hii hapa excerpt
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mahojiano kati ya Jaji Sinde Warioba na Jenerali Ulimwengu atuwekee hapa please

    Mwenye fill interview atuwekee hapa please
  12. JamiiForums Tanzania Siri Za Ulimwengu Za Fichuka

    Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu. Kachukue nakala yako mwenyew ndani . Freebibleaccess doti kimu Kajionee mwenye mambo ambayo yalifichwa au taarifa zilizofichwa zisipatikane kwa kila mtu
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  15. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  16. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Maridhiano ya nani na nani? CHADEMA ipo lockup Ukonga

    "CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
  17. K

    JamiiForums Tanzania Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

    Kwa wenye uzoefu wa biashara tu. Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo watafurahia hicho kitendo Umewahi kuona viongozi wa chama tawala wana maisha mabovu? Unaijua kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

    [Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake [Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  20. JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…