ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UMOJA WA ULAYA (EU) WAIDHINISHA TSH. BILIONI 461 KWA TANZANIA

    Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
  2. M

    Ufaransa na nchi za ulaya zinavuna walichopanda! Hata nchi za kiarabu zilizoendelea ziliwaonya juu ya kuingiza kiholela waislam wenye itikadi kali.

    Jengo la kihistoria la halmashauri ya mji wa Limoges limeporomoka kabisa baada ya waandamanaji wenye msimamo mkali wa kushoto kulichoma moto. Lilijengwa mnamo mwaka 1876. Lilinusurika kwenye Vita Vikuu vya Dunia Si kila watu ni wa kuwaingiza nchi yako haijalishi hata kama watu wa kufanya kazi...
  3. Tetesi: Rais Paul Biya wa Cameroon adaiwa kufariki Ulaya

    Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu. Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka...
  4. Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  5. Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  6. Natafuta mtu ambaye atakuwa ananitumia nguo za mitumba kutoka China , Ulaya au Amerika

    Aman kwenu wakuu Kama uko mambele na una uwezo wa kupata nguo za mitumba na kuzituma bongo Nishutue tufanye kazi Kwa uaminifu mkubwa sana Bwana akubariki sana
  7. Nimechoka kuishi tanzania kazi gani inalipa ulaya nitafute cheti!

    List of Professions Doctor Nurse Pharmacist Dentist Teacher Professor Lawyer Accountant Engineer Architect Software developer Data scientist Graphic designer Journalist Writer Photographer Pilot Air traffic controller Police officer Firefighter Soldier Electrician Plumber Carpenter Mechanic...
  8. Nchi gani ina unafuu wa maisha katika umoja wa nchi za ulaya? Tanzania sio nchi tena bali ni kituko

    Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima...
  9. M

    Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  10. Alikuwa karibu kuwa mmoja wa watawala wenye nguvu zaidi barani Ulaya

    Kisha tatizo dogo likatokea kwenye koo lake. Ndani ya miezi michache, Kaizari alikuwa hawezi kabisa kuongea. Na madaktari wake hawakuweza hata kukubaliana ni ugonjwa gani waliokuwa wanakabiliana nao. Mnamo mwaka 1887, Mwanamfalme Friedrich wa Ujerumani alipata tatizo ambalo hapo awali...
  11. Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  12. K

    Kupatwa Kamilifu kwa Jua Kwazua Msisimko na Kutumbukiza Sehemu za Ulaya Kwenye Giza

    Mamilioni ya watu kote barani Ulaya walishuhudia tukio la ajabu la kimaumbile siku ya Jumatano 12 August 2026, baada ya mwezi kupita katikati ya dunia na jua na kutumbukiza maeneo kadhaa ya bara hilo kwenye giza nene la mchana. Tukio hilo la nadra la kupatwa kamilifu kwa jua lilivuta hisia za...
  13. Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA chini ya Alexander Ceferin yamteua Omar Artan kuchezesha Uefa Super Cup

    Mwamuzi kutoka somalia Omar Artan ( 34 yrs) baada ya kukataliwa kuingia Marekani Kuchezesha kombe la Dunia 2026 , kuchezesha Uefa Super Cup kati ya Paris. Saint German PSG VS Aston Villa Usiache kamwe kuota ndoto yako .” ✨ 🇸🇴🏆 Kutoka Somalia hadi kwenye UEFA Super Cup, Omar Artan...
  14. H

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini. Katika...
  15. Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  16. Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

    Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia. Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24. Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?. Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
  17. Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  18. Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

    Ni story iliyotokea kwa Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake. je walidumu? Fuatilia picha na kisa hiki kifupi Mnamo 1977 mwanamume wa Kihindi aliyeitwa P. K. Mahanandia aliendesha baiskeli maili 6,000 kutoka India hadi Sweden kuoa...
  19. Hivi mjawahi kufahamu teknolojia za urusi ni complicated ukilinganisha na Ulaya na USA,Japan, China ndio maana zimefanikiwa kukubarika

    Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani. Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo. Nikabidi niangalie ndege na teknolojia kupitia Google.Ni kweli kabisa yani ndege zao mpaka marubani...
  20. Tukiacha roho mbaya Marangu Kilimanjaro ni kama ulaya

    Mamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu. Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani. Picha kwa hisani ya Bertin Video nimeattach https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…