Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo?
Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
Ndugu zangu Watanzania,
Kila Anapokwenda Rais Samia ni Lazima Uone Ushindi Wa Alama 3 Muhimu ,Ni lazima Uone Vishindo vya Makofi na kushangiliwa ,Ni lazima uone akiibuka kinara wa Mkutano na kujadili na kila Mtu Ni Lazima uone Wanaomfuata Wote wakipata taabu kubwa sana ya kuzungumza mambo...
Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test.
Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni.
Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
Nilikuwa naona video moja streamer huko Instagram, akakutana na mtoto wa kiume miaka 6, huyo streamer akamuuliza what's the meaning of life? Huyo dogo akajibu "I don't know but I think Practice (kujijenga) , love (upendo), creativity (kuumba) imebidi nitafakari kitu kitu kimoja kwanini mtoto wa...
Ulaya Yatahadharisha Familia Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI 🤯
Umoja wa Ulaya umewashauri raia wake kujiandaa ili waweze kujikimu wenyewe kwa muda wa saa 72. Inashangaza—kwa nini Umoja wa Ulaya, ambao kwa kawaida huwa waangalifu sana na wenye kuzingatia usahihi wa kisiasa, ghafla unazitahadharisha...
Kwa masiku kadhaa kumekuwa na posts ambazo zinanasibisha na Maandamano yanayo tokea Ulaya kuwa yanachagizwa na uwepo wa wahamajia kutoka nchi za kiarabu
Labda niwaulize hawa wajinga wachache,je source ya habari zenu huwa mnatoa wapi wenzetu?
Nikisema kwamba habari zenu zinachagizwa na chuki...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kwa mfano neno "takataka" au "mbwa" hata kama yana maana nzuri katika kabila lako, unaweza kumpa mtoto wako jina la namna hiyo akaishi nalo hapa Tanzania?? Kama jina Mtumba ni zuri basi Zaa mtoto kisha muite jina MTUMBA uone kama atasoma kwa raha huko shuleni mbele...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo.
anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni.
hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda
familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha...
Ndugu zangu Watanzania,
Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini.
Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi...
Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu.
Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%.
Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake .
Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika.
Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
Umoja wa Ulaya (EU) umerudisha rasmi upatikanaji wa fedha za maendeleo za kiasi cha Euro milioni 156 (takribani Shilingi bilioni 461 za Tanzania) baada ya kuchelewesha kuidhinishwa kwa mpango huo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa ushirikiano wa Umoja wa...
Jengo la kihistoria la halmashauri ya mji wa Limoges limeporomoka kabisa baada ya waandamanaji wenye msimamo mkali wa kushoto kulichoma moto. Lilijengwa mnamo mwaka 1876. Lilinusurika kwenye Vita Vikuu vya Dunia
Si kila watu ni wa kuwaingiza nchi yako haijalishi hata kama watu wa kufanya kazi...
Kuna habari mitandaoni zinasambaa kwa kasi kuwa Rais Paul Biya wa Cameroon amefariki barani Ulaya alipokuwa anapatiwa matibabu.
Bado taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi, lakini nchini Cameroon minong’ono ni mingi sana kuhusiana na Rais huyo mwenye miaka 93 na ambaye yupo madarakani kwa miaka...
Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya.
https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
Aman kwenu wakuu
Kama uko mambele na una uwezo wa kupata nguo za mitumba na kuzituma bongo
Nishutue tufanye kazi
Kwa uaminifu mkubwa sana
Bwana akubariki sana