ukraine

  1. JamiiForums Tanzania Ukraine: Jeshi la Urusi ladaiwa kushambulia Shule Mji wa Kharkiv

    Jeshi la Urusi linadaiwa kushambulia Shule Tatu katika Mji wa Kharkiv. Pia inaripotiwa kuwa Majengo kadhaa ya Makazi ya Watu huko Okhtyrka nayo yameharibiwa kutokana na mashambulizi yanayoendelea Umoja wa Mataifa (UN) umesema tayari Watu zaidi ya Milioni Moja wamekimbia Ukraine, ikiwa ni siku...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

    Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu. Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo yaliyojitenga toka Ukraine. Naomba nianze utangulize wa makala yangu kwakusema, Dunia ili iwe salama...
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi

    Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi. Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary. Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

    Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa. Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia. Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara? Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine na Urusi: Je, vaccum au thermobaric ni bomu la aina gani?

    Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni Ubalozini. Ona lawama kibao kwa Serikali wakati Ubalozi haujui kuwa wengi mko Ukraine

    Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka. Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Makelele ya Vita ya Russia Vs. Ukraine

    Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana. Ukiangalia Wastani Nchi nyingi duniani wameeegemea upande wa Ukraine na kumuacha Rusia Mpweke na...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Mrusi akipiga mvinyo kusherehekea ushindi wa kivita (millitary victory) dhidi ya Ukraine

    Wanapiga mvinyo Kwa kwenda mbele. # Putin mbele Kwa mbele
  11. JamiiForums Tanzania Rais Biden: Putin alikosea kufikiri Mataifa ya Magharibi hayatojibu alipoishambulia Ukraine

    Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine. Amesema Vita ilipangwa bila kuchochewa, na Rais Putin alikataa juhudi za mara kwa mara za Kidiplomasia akifikiri Nchi za Magharibi na NATO...
  12. JamiiForums Tanzania Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Russia walitumia kuipiga Ukraine 🇺🇦

    Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko vilipuzi vinavyofahamika vyenye ukubwa sawa na wake, na vina athari...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa. One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

    Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana. Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga. Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent)...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa FIFA na UEFA kujiingiza kwenye mzozo wa Russia na Ukraine?

    FIFA na UEFA wamepiga ban vilabu na timu ya taifa ya Urusi kushiriki mashindano yao. Je, hatua kama hii ni sahihi kwa chombo cha kimataifa kinachohubiri neutrality kama FIFA? Mbona hawakuiban Uingereza, Ufaransa, Marekani nk walipokuwa wakivamia nchi ya Libya na zile za mashariki ya kati?
  16. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Ghana yaanza kupokea wanafunzi wao waliokimbia Ukraine

    Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi. Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

    Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv. Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000. Aidha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…