ukraine

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  4. JamiiForums Tanzania Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  5. JamiiForums Tanzania Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

    Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by...
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  7. JamiiForums Tanzania Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

    Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine. Belarus imeruhusu karibu wanajeshi wa Russia waliosajiliwa hivi karibuni kupokea mafunzo nchini humo, huku ikitoa karibu...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

    Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka. Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]...
  10. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabainisha Kombora lililoishambulia Poland lilitokea Ukraine

    Kombora hilo limesababisha vifo vya watu wawili katika Kijiji kimoja Nchini Poland lilirushwa na vikosi vya Ukraine wakati vikizuia mashambulizi kutoka kwa Urusi Maofisa wa Marekani ambao hawakutaka kutaja majina yao wamebainisha kuwa tukio hilo lilitokea wakati Urusi ikishambulia miundombinu...
  11. JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Russia imerusha kombora na kutua Poland Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported. Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
  12. JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  13. JamiiForums Tanzania Ukraine waapa kutoachia hata kipande cha ardhi, waendelea kusonga mbele

    Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao, milima yao, bendera yao. Tangu Mrusi alipojaribu kuparamia Kyev, vijana walijitokeza kwa kubeba...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

    Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine. Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris. Yakifungwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mji wa KHERSON umekumbwa na giza totoro

    Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu za usafirishaji umeme na maji na kusababisha mji huo kukosa umeme na maji. Hayo yanajiri huku...
  16. JamiiForums Tanzania Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  17. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaomba "po" kiaina: Inaiambia Ukraine ikubali mazungumzo ya amani na Urusi!!

    Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege 8 za Shaheed zaangushwa na jeshi la Ukraine

    Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk . Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…