ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kutunza pesa yako

    Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
  2. Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  3. U

    Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  4. Ukitaka wakufunge kirahisi nchi za wenzetu ukwepe kodi, ila kodi yao inafaida kuliko hapa

    Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa. Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
  5. S

    Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali. Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
  6. K

    SoC04 Ukitaka kufagia ngazi, anza ngazi ya juu

    U
  7. Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  8. Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle. Maana yake ni nini Kuwa na tahadhari Kama Wazee Punguza nights out...
  9. D

    Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  10. Ukitaka Amani Nyandua Pis Kali Kwa Ufumdi wa Kibaharia kiasi kwamba hata akileta nyodo kesho yake Usiwaze Jikatae Kiroho Safi

    Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi. Sasa basi...
  11. Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  12. Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  13. Gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari

    Habari zenu, Wakuu shida ni nini hapo mana gari haliwaki hizo taa zinatokea ukitaka kuwasha gari (taa ya betri na taa ya oili)
  14. P

    Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
  15. Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  16. S

    Sikubaliani na Profesa Janabi

    Mwili una mifumo imara ya kutambua mapungufu na mahitaji yake. Kwa hiyo jaribio lolote la kuuelekeza (to dictate) mwili nini cha kufanya ni kuharibu miitikio ya kimaumbile. Mwili hutoa viashiria mbalimbali unapokuwa na mahitaji ama mapungufu; 1. Kiu.........maji. 2. Njaa....chakula. 3...
  17. H

    Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  18. Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

    The majority of the hundreds of kilometres of tunnels dug under #Gaza by Hamas remain untouched and difficult to access for the #Israeli military.⁠ .⁠ As the war on Gaza nears the end of its fourth month, the Israeli military has managed to damage or render inoperable an estimated 20-40 percent...
  19. Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  20. Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

    Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…