ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  2. ENYI WANAUME MUISHI NA WAKE ZENU KWA AKILI UKIONA NDOA INA MGOGORO UJUE HANA A.......

    Akili Jpili njema
  3. Ukiona mambo haya kutoka kwa mwenza wako, basi jua kuna uwezekano wa kuchinjwa au kuuwawa... Take care!

    Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wenza kuchinjana na kuuana in the name of love, haya matukio yameanza kushamiri sana kiasi kwamba mpaka tunahisi labda mtoa roho amekuja kivingine this time. Sasa kwa kawaida haya matukio huwa hayaji ghafla tu bin vuu,laa! Huwa kuna viashiria fulani fulani...
  4. Ukiona hizi picha unakumbuka nini?

  5. K

    Ukiona mtu kaanzisha mada ya kidini usichangie, Ukichangia unamaanisha wewe ni mdini, hebu tuzipotezee ili ziondoke hapa JF

    Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake. Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
  6. M

    Ukiona sehemu ina fremu yenye PS tafuta kwengine kama kuna mbadala ! Frem za PS nyingi zinafuga wezi, zinavunjwa na huchochea wengine kuibiwa

    Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba. Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
  7. CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  8. Ukiona mtu anapaka piko ili afafanue jambo... Ajabu sana!

    Kuna mtu kapaka piko ili kufafanua jambo, kosa ni kupaka piko au kufafanua?
  9. Hivi wakuu unapata msupu kama huyu ameridhika na wewe na anakuheshimu ndani yaani hata kama unapitia ugumu flani ukirudi ukiona ua lako moyo unapoa

    chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau, Asiwe na kisirani Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa Kwa bahati mbaya hizi...
  10. K

    Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  11. Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

    Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa. Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru. Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama.. Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini...
  12. K

    Ukiona Mtu Yuko Upinzani,Anasifiwe na Mbogamboga,Ujue ni Timu"B"!

    WanaJf: Hivi Kweli mtu unayepingana nae Kwa maneno na matendo awe anakusifia hadharani Kwamba Wewe ndiye mkomavu wa Siasa hasa! Mbaya zaidi,huonekani kujali wenzio waliokupigania ukiwa mahabusu,unaibukia kwenye uzinduzi wa Bwawa la umeme!Kwani usingeenda, lisingezinduliwa? Inaudhi na inakera!
  13. ukiona farao anajaa kiburi ujue anguko lake lipo karibu

    Mambo yanayoendelea TANZANIA ni kwa sababu Farao amejaa kiburi kaona liwalo na liwe mfano kutumia vyombo vya kimaamuzi kuwatesa watu.Ni suala la muda huyu FARAO kuanguka na litakuwa anguko kubwa na la aibu kwa sababu ya laana aliyojitengenezea.tuwe na Subira.
  14. Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  15. Nawashauri wazazi ukiona binti yako ni mpole na mwenye maadili ya kweli fanya ukale wa kumtafutia mchumba asizeekee nyumbani

    Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na namjua pia, hadi sasa hana mtoto wala hajaolewa kimuonekano ni mtu wa 1980s hivi huwa najiambia ningekuwa...
  16. M

    Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  17. Walishatugundua tuna tabia ya kusahau na kunyamaza ndio maana ukiona unatishwa wanakuleza neno watasahau.

    Ni kwamba mfumo wa serikali ya CCM ulishajua kuwa hawa hata tukiwafanyia lolote baya wana wasahau tu na kunyamaza. Ndio maana leo wanafanya lolote watakalo wanajua kesho mtawafanya lolote sababu mtasahau.
  18. K

    Ukiona unapangiwa sana ujue kuna mtu anaikula

    Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na...
  19. K

    Ukiona unaihangaikia sana ujue siyo ya kwako mwenye nayo haiombi

    Shikamoo wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Ukiona mke wako anakunyima unyumba na hana time na wewe ujue hana hisia na wewe. Mwanamke anayekupenda lazima akumiss na hasiti kukuomba akiwa na ugwadu bila hata kutumia nguvu. Maana hisia za mwanamke zipo juu kuliko za wanaume.
  20. K

    Ukiona mchumba wako ana sifa hizi oa na weka ndani

    Shikamoni wote humu natumai mu wazima wa afya. Kama hujaoa na una mchumba mwenye sifa hizi weka ndani 1.Mwenye heshima na adabu – Heshima ndiyo inabeba maana halisi ya wife material. Siyo yule anakudharau kwa kila unachofanya 2. Mwaminifu na mkweli – Ni mwadilifu katika mapenzi na maneno. Huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…