ujuzi

  1. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  2. Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  3. David Kafulila: Afrika ina rasilimali, lakini haina Maarifa? China ilitafuta ujuzi kabla ya utajiri. Tanzania tunapaswa kuwekeza zaidi kwenye maarifa

    Wanazengo Wasalaam, Leo nimekutana na andiko la Ndg yangu David Kafulila aliliandika miaka mitano iliyopita akijaribu kukitetea chama chake hasa Mgombea Urais kwa kufurumusha makombora kwa mgombea wa ACT Wazalendo Hayati Bernard Membe na kiongozi Mkuu wakati Ule Bwana Zitto Kabwe. Pamoja na...
  4. L

    Ujuzi wa ufugaji nyuki kutoka China wafungua fursa mpya kwa wanawake wa Kenya

    Grace Cheserem, mwenyekiti wa kikundi cha wanawake cha Lelkolo katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya, bado anakumbuka mavuno yake ya kwanza ya asali mwaka 2022. Katika jamii za eneo hilo, kwa muda mrefu ufugaji nyuki ulionekana kuwa ni kazi ya wanaume, mizinga ya asili iliwekwa juu kabisa kwenye...
  5. L

    Viwanda vilivyowekezwa na China vyaongeza ujuzi na uzalishaji barani Afrika

    Wakati Nuhu Peter Changawa alipojiunga na Twyford Tanzania mwaka 2017, alikuwa ni mtaalamu wa ghala mwenye ujuzi mdogo wa usimamizi wa maghala ya kisasa. Hii leo, anasimamia operesheni za ghala katika kiwanda cha kusindika glasi, akipanda cheo kutoka mtaalamu hadi msimamizi na meneja wa ghala...
  6. B

    Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku. Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
  7. Tubadilishane ujuzi hapa nataka mtu aliwe leo. Yani leo leo

    Ebwana nemeenda kumtembelea mjomba maeneo ya mkuranga mkoa wa pwani nina wiki sasa, nimekuta mjomba ana bekitatu mtoto wa morogoro anaonekana wa kuja ila ukimtazama kwa jicho ya ulafi mtoto anaita. Maana ni maji ya kunde mfifio, mwembamba kiasi sio sana na ana kitako kinachoendana na umbo lake...
  8. Huu ni ujuzi ambao hauna watu wengi chance ya kupata pesa ni kubwa.

    Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda...
  9. N

    Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  10. M

    Nikiona vijana waliopiga pesa kwenye tech miaka ya 2000โ€“2010 leo wanahangaika, najifunza kuwa hakuna ujuzi unaopitwa haraka kama wa teknolojia

    Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao yameshuka. Baadhi ni hawa Website designers - Ilikua deal sana enzi hizo, nakumbuka nikiwa nimepada...
  11. H

    Fursa kwa Vijana Wenye Ujuzi wa Sales & Marketing โ€“ Tengeneza Kipato cha Ziada

    Je, una uwezo wa kutafuta wateja na kuuza huduma? Peculiar Enterprises Ltd. inakupa nafasi ya kutengeneza kipato cha ziada kwa kutuletea wamiliki wa Microfinance watakaoanza kutumia Peloo, mfumo wa kisasa wa usimamizi wa Microfinance. Commission Utakayopata TZS 50,000 kwa kila mteja...
  12. Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

    Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi. Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao. Aya, twende kazi.
  13. Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  14. JE, UNAHITAJI UJUZI WA KOMPYUTA LAKINI MUDA WA KWENDA CHUONI NI MDOGO?

    Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi. Changamoto kubwa kwa wengi ni kukosa muda wa kuhudhuria mafunzo ya kawaida kutokana na majukumu ya kazi na ratiba za kila siku. Kwa...
  15. M

    Likizo hii umemuandalia mtoto sehemu ya kujifunza stadi za kazi za kumuandalia ujuzi wa kujiajiri au unaendelea kumkomalia na tuisheni ?

    Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha? Ukweli mchungu ni kwamba...
  16. Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  17. Kama wanaotoka jela wanarudi na ujuzi, kwa Nini tusiwafunge vijana wote wakapate ujuzi huko?

    Mimi nashauri vijana wasio na ajira Tanzania, nashauri tuwasweke lupango wakapate ujuzi ili wakitoka wajiajil Ccm mbele kwa mbele!
  18. U

    Raisi wetu anastahili kupongezwa sikuhizi magereza mtu akitoka anatoka na ujuzi kamili wa kujiajili haji kuwa mzigo mtaani

    Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
  19. Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  20. Kesho yako ipo kwenye kuongeza ujuzi

    Learn with us, You can't get those skills from master degree or PHD. No one wait for you. Geospatial Tanzania tunaamini Ujuzi ni chanzo cha kujiamini. Kama una ndoto ya kufanyakazi katika mashirika ya uma au tasisis binafsi. Tunawakumbusha mashirika ya uma na taasis binafsi yapo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ