ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele. Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania. NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

    Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake: Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi. Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  4. JamiiForums Tanzania Kichekesho hichi kifupi kimebeba ujumbe mkubwa sana juu ya Afrika.

    Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa vijana mnaoona maisha magumu

    UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU! Anaandika Robert Heriel! Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
  6. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Habari! Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio. Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa: April 2020 imebeba ujumbe mzito!

    Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa miaka sita amefanya vizuri. Kwa hatua hiyo Rais anapata faida ya ziada ya kuelewa kilichopo akilini...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kinana apata mapokezi ya kishindo Dar

    MATUKIO KATIKA PICHA Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. #CCMImara...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

    Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa: Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona? Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

    Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Dkt. Slaa: Uungwana ni kitendo, jitokeze ukamtembelee Freeman Mbowe

    Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake ikiendelea, mwisho ukasema swala la Mbowe ni Gaidi au siyo Gaidi iachiwe Mahakama. Ni takribani siku...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana msiooa kuna ujumbe wenu hapa.

    Ujumbe wenu huu hapa chini 👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

    Kwako Diamond... Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo. Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Matumizi holela ya P2 yanaweza kusababisha ugumba na saratani

    Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2. Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni. P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  20. JamiiForums Tanzania Vibonzo na ujumbe mkubwa ndani yake

    🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…