ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu: Mashabiki wenzangu wa Simba tulifeli hapa

    Ningependa moja moja kuwapongeza watani zetu Yanga kwa ushindi wa jana. Baada ya kufanya tathimini yangu fupi mitandaoni na vijiweni nimegundua kuna mabadiko makubwa kati ya mashabiki wa Simba na Yanga kutokana na mambo wanayojadili kuhusu timu yao. Nikianza na Yanga haswa hapa Jf kwenye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa maprogrammer

    kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Madiwani Mtwara wadai kukuta ujumbe wa vitisho nyumbani

    Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

    Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa vijana wasio na kazi ambao wanashinda tu mtaani na hawajui wafanye nini humu duniani

    (1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani. (2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
  9. JamiiForums Tanzania Advertising access restricted ndo ujumbe unaokuja ninapohitaji kubost matangazo katika page yangu ya Facebook

    Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu. "Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
  10. JamiiForums Tanzania Je, umefuta ujumbe kwenye simu yako kwa bahati mbaya? Fanya hivi kurejesha

    Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana! Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tujaribu kusoma ujumbe uliojificha kwenye picha hizi mbili

    Picha ya kwanza ni: Na picha ya pili ni: Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza...
  12. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu unayeendana naye ili ufurahie mapenzi

    Hope mko poa. Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU. Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mdee: Sina hizo bilioni 10 nilikuwa nafikisha ujumbe tu kwa Serikali

    Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho. Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Airtel, please stop this nonsense...

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT, Imekua kawaida sasa kila nikipiga simu ya kwanza (kuanzia saa sita kamili usiku na kuendelea) napokelewa na ujumbe NDUGU MTEJA LINE YAKO HAIJASAJILIWA KWENYE MFUMO WA SPEED YA 4G HIVYO HUTAWEZA KUITUMIA KWENYE 4G TAFADHARI IBADILI SASA UPATE GB 7 BURE. Huu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hili la kulipia kibao cha namba za Makazi Watanzania wenzangu na ninyi ujumbe umewafikia?

    Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine... Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele. Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania. NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…