ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi wakamata walioanzisha kiwanda feki cha Sukari

    Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo. Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  3. JamiiForums Tanzania Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

    Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mabula, RC Malima wabwagwa ujumbe wa NEC CCM

    Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa. Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  9. JamiiForums Tanzania Hii picha inatoa ujumbe gani?

    Mshike sana elimu usimuache aende zake.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara

    BREAKING Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara...
  11. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa. Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe mzito wa kutia moyo

    • "I was flogged by my father for doing music." ~ Wizkid • "I got pregnant at 17, during my secondary school days." ~ Genevieve Nnaji • "I didn't even complete my university education." ~ Bill Gates • "I once sold plantain." ~ Inetimi Odon (Timaya) • "I used to serve tea at a shop to support...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi wa 'Puerto Rico' wamenituma nifikishe huu 'Ujumbe' kwa 'London Mourner' naamini utamfikia....

    "Mwambieni tumechoka sasa na tabia yake ya kila mara tu Kutusema vibaya tena katika Public kuwa tunabambikia Watu Kesi, tunawaonea na Kuua hovyo wakati si kweli" "Anatulaumu kuwa tupambane na Wahalifu wa hapa Jiji Kuu la San Juan nchini Puerto Rico wakati hata Yeye pia hatujali Kimaslahi kama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuizomee Singida Big Stars kila inapocheza kufikisha ujumbe kwa Mwigulu kuhusu tozo

    Hakuna njia nyingine ya kumfikishia salam waziri wa fedha kuhusu maumivu ya tozo bali kuizomea timu yake Marefarii fanyeni kazi ya kuwapa kadi wachezaji wa hiyo timu ili ujumbe umfikie. Tumechoka.
  15. JamiiForums Tanzania Askari Polisi Ajinyonga akiwa Guest House na kuacha ujumbe, "Maisha hayana maana"

    askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni. Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana" Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

    Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume

    Kwa wale ambao mmezoea kushiriki ngono bila kutumia Kinga chukueni ushauri ufuatao; Pindi unapomaliza kushiriki tendo usirudi kuendelea kulala amka chap uwahi msalani kukojoa na kuosha uume wako Vizuri.Hii Ni kwa faida yako binafsi. Hakuna mtu anayekuja kukushauri hivyo Tena. Thank me later.
  18. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

    Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa...
  19. JamiiForums Tanzania Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe: Taifa hujengwa kwa watu kufanya kazi kwa bidii, nguvu na akili nyingi na sio mizahamizaha na kuendekeza ujinga

    "Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea. Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki. Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi. Watanzania na Waafrica tunaumiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…