ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

    Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri. Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
  2. Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  3. Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  4. Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
  5. Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa. Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
  6. Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  7. Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

    Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🤣🤣 Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la bia😅. Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen z😅. Tofauti na...
  8. Ujinga ni kujua ukweli na kuona ukweli, lakini bado ukaamini uongo!

    Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha mtazamo wake. Lakini tatizo linakuwa pale mtu anapoona ushahidi unaopingana na msimamo wake, halafu...
  9. Ujinga wa waamini ndio ulizaa jina la "Atheists"

    Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo. Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo maalumu au wanaitwa wakataa/ wasioamini uchawi, wasioami spiderman, wasioamini uwepo wa sungura...
  10. Kakopa hela aende Kizimkazi asionekane Msaliti. Ujinga

    Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA? Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia. Ili kujiipendekeza ni...
  11. M

    Acheni ujinga - nchi ilishakombolewa 9 Dec

    Ndiyo maana ,tuna -; 1. Baba wa Taifa. 2. Rais -amiri jeshi mkuu. 3. Mwenyekiti wa chama. 4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi) 5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili mradi kutokuvunja Sheria za nchi (zilizosimikwa) USHAURi WA BURE. Katafuteni Taifa ambalo...
  12. M

    Ni upuuzi na ujinga kuwa taifa ambalo linawasomi ambao hawawezi kuzungumzia academic issues kisa wanaogopa kutekwa na kushitakiwa kwa ugaidi

    Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria. Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa na hata kushitakiwa mahakamani. Makala ina kichwa cha habari terrorising academic in Tanzania. Ni...
  13. M

    Upuuzi na ujinga kumwambia mwenzako umezeeka sababu ya pombe

    Nani alikuzuia wewe usinywe pombe? Unafiki na uzandiki wa kufuatilia masuala ya watu. Upuuzi mkubwa.
  14. Je, dini inaweza kuimarisha ujinga na umaskini?

    Wakuu, heshima kwenu. Lengo langu siyo kushambulia wala kudhalilisha, bali nikujaribu kuangalia uhalisia wa masuala ya ibada katika maisha halisi na matokeo yake. Tangu nikiwa kijana mdogo kabisa, nimeshiriki ibada fulani kila mwaka. "Ibada ya kubariki mbegu" Kwenye dhehebu langu. Kwenye...
  15. Dini na Waafrika

    Mungu" unayemwamini ni utendaji wa moja kwa moja wa kundi fulani la watu lililofanikiwa kuwatawala babu zako kwanza. Kabla ya Wazungu na Waarabu kuleta miungu yao, babu zenu walikuwa na miungu yao pia. Ubinadamu umeamini katika si chini ya miungu 5,000 tofauti katika miaka 10,000 ya historia ya...
  16. Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amekitaka chama hicho kutumia vyombo vyake vya ndani kuchunguza tuhuma za kifedha zinazowakabili baadhi ya viongozi wake, akisema hatua hiyo itasaidia kubaini ukweli, kuwasafisha watakaobainika kutokuwa na hatia na kuimarisha...
  17. Kwanini watu hawataki kulipia huduma za kuzaa na kwanini Serikali inakubali huu ujinga?

    Kwa nini wanawake wanaozaa huwa hawataki kulipa huduma za hospitali za kuzalishwa? Sababu hasa za watu kutaka huduma za kuzaa kuwa bure ni zipi? Kwa nini utake watu wagharamikie kuzaa kwako?
  18. Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

    Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo. Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika...
  19. S

    Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…