▪ Asema Serikali imeboresha utaratibu wa upatikanaji wa fedha za miradi ya barabara
▪ Atarejea kukagua maendeleo ya ujenzi
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka mkandarasi anayejenga sehemu ya barabara ya Bigwa–Mvuha–Kisaki, yenye urefu wa jumla wa kilomita 133, mkoani Morogoro, aongeze...