uhusiano

  1. JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

    Habari za Leo wakuu, Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR. Hivyo vitu viwili vinaingilianaje? Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR? Naomba kuwasilisha mada mezani
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

    Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
  4. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kodi na shughuli za Maendeleo

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) " Ukitaka...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kuuishi umaskini na kuwa kiongozi bora wa kuwaongoza watu kuondokana na umaskini?

    Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
  6. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu single mother's pale unapooa au kuanzisha uhusiano nae

    1.Uhusiano wa single mother na mwanaume aliye zaa nae hauwezi kufa kwa sababu bado anatembea na damu yake. 2.Kipaumbele kikubwa katika mahusiano na single mother ni mwanae cha pili yeye cha tatu ni yeye hivvyo lolote linalofanyika ndani ya mahusiano mtu wake wa kwanza kumwangalia ni mwanae...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya stress na sex?

    Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya. Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya mwanamke kuwa muasherati na kabila analotoka?

    Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye. Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja...
  10. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa kutohoa neno TANZIA kutoka kwenye TANZANIA?

    Wataalam! Ukiangalia Utofauti wa neno TANZIA na TANZANIA ni mdogo sana! Je, kuna uhusiano wowote wa inchi na neno hilo? Je, hakuna namna yoyote neno hilo likafutwa kwenye kamusi na kutaftiwa neno mbadala?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

    Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali nikamwambia then sasa naweza mfikisha hata home Oysterbay nakoishi. Nlimwambia tukutane duka fulani la...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation. Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi. Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Ushauri wenu ni muhimu sana. Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

    Habari wakuu, Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia. Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka. Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi. Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
  16. JamiiForums Tanzania Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kukopa na kutokulipa deni, Kama una tabia hii jitathimini sio nzuri kwani inapunguza uaminifu na kuvunja uhusiano pia

    Mambo vipi wakuu Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu. Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa. Kiukweli hili jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

    Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  20. JamiiForums Tanzania Gazeti la Congo laongelea uhusiano wa Diamond na baba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…