uhusiano

  1. U

    JamiiForums Tanzania Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  2. JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Habari Ni kijana 25-27 years Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho. Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi) mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae. Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa. Kuna taarifa mbaya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Shandong Yaimarisha Uhusiano kati ya China na Kenya

    Na Tom Wanjala Maonyesho ya nne ya bidhaa zinazouzwa nje ya mkoa wa Shandong nchini China, yaliyofanyika jijini Nairobi wiki iliyopita, yalifana kutokana na idadi kubwa ya watu waliohudhuria. Maonyesho hayo yaliyofanyika kati ya tarehe 16 na 19 mwezi huu, na ambayo lengo lake kuu lilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu Brigedia Warioba aliyeteuliwa na Rais Kenyatta ana uhusiano gani na Jaji Warioba?

    Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya. Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji warioba wa Tanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

    Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa. Kwa maoni yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa upungufu wa damu na lishe kwa wanawake

    Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5? Ni nadra sana kuona wataalamu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zikiendelea kuuenzi uhusiano wao ustawi, kuna wale wanaozusha vijineno vya chini chini vya kutaka kuusambaratisha

    Na Pili Mwinyi Ingawa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika ulianzishwa katikati ya miaka ya 50, lakini hivi sasa uhusiano huu unaendelea kukua na kustawi na umekuwa ukiimarishwa siku hadi siku, ambapo pande zote mbili zinaungana mkono kwenye masuala mbalimbali. Hata hivyo kuna wale...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini jaribio la kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika lashindwa?

    Vyombo vya habari vya Zimbabwe vimeripoti kuwa serikali ya Marekani kupitia ubalozi wake nchini humo imewahonga wanahabari wa vyombo binafsi, dola za kimarekani elfu moja ili kuandika makala moja ya kuchafua sura ya kampuni za China nchini Zimbabwe. Juu ya yote hayo, maofisa, vyombo vya habari...
  10. JamiiForums Tanzania Siri 17 ambazo hutakiwi kusema ili kulinda uhusiano wako

    Kama upo kwenye mahusiano ya mapenzi yawe mapya au ndio yako ya kwanza chunga sana mdomo wako usiseme mambo haya kwa mpenzi wako 1. Hofu kuhusu uhusiano wako Katika kila uhusiano, uwe wa karibu au wa mbali, kuna mambo unayoyashuku, hisia zisizokufurahisha na maswali mengi. Ni vyema kutosema na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  12. JamiiForums Tanzania Ni lugha gani iliyoharibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

    Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma. Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine. Hii haikuwa muujiza bali...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kwenye kusafisha nyota na mafanikio

    wadau nimekuwa nikisikia kuna wataalamu wanasafisha nyota inayopelekea kupata mafanikio kipesa. Je Huo utaalamu upo, kuna aliyewahi kusafishiwa nyota na akafanikiwa, wataalamu wa uhakika wapo? Ahsante
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Na Fadhili Mpunji Maonyesho ya pili ya biashara na uchumi kati ya China na Afrika yanaendelea kufanyika mjini Changsha, Hunan kusini mwa China. Maonyesho haya ni moja ya majukwaa muhimu ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, na ni fursa adimu inayotolewa na China kwa nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kurdistan yalaani mkutano wa Erbil wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo la Kurdistan la Iraq lenye utawala wa ndani sambamba na kusisitiza kuwa, itawachukulia hatua watu walioitisha na kuandaa mkutano wa jana wa Erbil kwa kupotosha malengo ya mkutano huo na badala yake kuwa ni kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel...
  16. JamiiForums Tanzania Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano?

    Mapato ya mkeo/mpenzi wako yamekusaidiaje katika uhusiano wako? Wengi tunapenda kuoa wanawake wenye kazi au wenye vipato, Je kwenye mahusiano yenu, wewe mwanaume unayatumiaje mafao/fedha zake, au fedha zake zimekusaidiaje katika kuimarisha uhusiano wenu?
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini wanaoishi humo ndani unaweza kukuta ni baba, mama, na mtoto mmoja; kwa upande mwingine, unakuta nyumba ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Mahakama na Vyombo vya Habari nchini?

    Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote? Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio. Nini kimetokea?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kuwasili kwa aliens duniani na machafuko ya siku za mwisho

    Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni...
  20. JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo? Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant." Kama kweli basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…