uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Uhamisho wa Dodoma ulivyonufaisha watumishi

    Huku mtaani kulikuwa na magofu mengi yamesimama ila watu baada tu ya kulipwa hela ya uhamisho ujenzi umeendelea na wengine wamemaliza kabisa. Watumishi waliokuwa na ndoto za magari wamenunua hata ya mkononi kwa mtu. Wengine wamenunua viwanja hata kama ni vidogo. Wengine wamepauwa nyumba zao...
  2. Namuokoaje rafiki yangu ambaye ni Mwalimu Kijijini, michezo ya wabaya usiku inamnyima raha

    Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X. Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero. Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo. Vibweka hivi ni kama. 1. Sufuria zenye vyakula kukutwa...
  3. D

    Kurugenzi Serikali ya Mitaa (DLG) - TAMISEMI barua za uhamisho zimerundikana, ukiwafuata Mitumba wanachomoa yako kwa hongo ya laki 6

    Utaratibu wa kutoa majina ya watumishi waliokidhi vigezo vya kuhama kwenye tovuti ya TAMISEMI kila mwezi wa Juni na Desemba umeshakufa. Kwa sasa barua zimerudikana pale idarani kurugenzi ya serikali za mitaa Mitumba. Barua za watumishi waliokamilisha tàratibu za kuhama zote baada ya kupitishwa...
  4. Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

    Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…