uhalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  2. CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  3. Mwabukusi yafaa kujiuzulu TLS, nimekuwa nikihoji uhalali wa wewe kuwa ofisini sasa nitaeleweka

    Hizo shutuma tu za kufadhili machafuko nchini zinakuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Nadhani ni matokeo ya kuchagua watu kwa mihemko...mm binafsi nilipinga kabisa Mwabukusi kuwa kiongozi. Mawakili mlitukosea Sana watanzania kwa kumchagua huyu jamaa. Lakini mimi nimekuwa nikihoji sifa za kielimu...
  4. Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  5. Andiko la Ben Saanane akihoji kuhusu uhalali wa PhD ya Marehemu John Magufuli

    Na, Ben-Rabiu Wa Saanane Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni Halali. Nimesoma Hoja ya Prof.Kitila kuhusu PhD ya Magufuli. Prof.Kitila ni Rafiki yangu sana.Yeye ni...
  6. Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  7. Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  8. O

    Uhalali wa Kennedy Orinyo Nyamanga kuw mkurugenzi mkuu wa urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda kuwatakia Kila la kheri,nawatanzania nawatakia amani ya afya katika ardhi ya Tanzania chini ya kiongozi...
  9. Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  10. Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  11. 1/6/2026 Mahakama Kuu Kigoma kusikiliza maombi ya Marejeo yanahusu uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na 1. Buberwa Ephraimu Kaiza 2. ⁠Joseph Daudi Mabugo Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
  12. A

    KERO Kuna changamoto kuhusu Uhalali wa Kumiliki Duka la Dawa Muhimu

    Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali. Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania. Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili. Ikiwa mimi...
  13. M

    Siasa za Matukio na 'Kutengeneza Uhalali': Barua kwa Dangote, Kongamano la 'Never Again' na Madhara yake kwa Taifa

    Wana JF, habari za weekend? Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania. Kumekuwa na wimbi jipya la mbinu za kisiasa zinazofanywa na kundi linalojipambanua kama 'watetezi wa utawala...
  14. U

    PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  15. Uhalali wa Mashahidi wa kificho mashakani

    Kumbe wote walikamatwa Mitaani huku wengine wakitekwa. Wakatishwa n.a. kupewa masharti kwamba wakikubali kuwa Mashahidi wa kumkandamiza Lissu watakuwa salama Taarifa zingine zinaeleza kwamba wamo waliokamatwa kwa Ujambazi n.a. Ubakaji lakini Baada ya kukubali Sharit Hilo la kikatili kesi zako...
  16. Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

    Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu. Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran. Lakini kundi linalounga mkono...
  17. Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili

    Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence Tuheshimu Imani Za Wengine Christmas hii tamu, watu wako na...
  18. R

    PostGE2025 Mchange: Uhalali wa uchaguzi sio lazima CHADEMA washiriki

    Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi si kigezo cha uchaguzi kutokuwa halali
  19. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  20. Kwamba maandamano yatakuwa ya amani Serikali haiwezi kukubali..lazima ichomeke wafanya vurugu ili ipate uhalali wa kuyatawanya

    Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!! Aiseee.. Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe! Kinyume na hapo hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…