Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
EDIT: The heading of this post was "Under Penalty of Perjury". Pana mtu asiyetumia ustaarabu aliyebadilisha kichwa hicho cha habari bila idhini yangu, huku akiacha kichwa cha habari alichokiweka bila kuweka jina lake au taarifa kwamba ni yeye aliyebadilisha kichwa cha habari.
UNDER PENALTY OF...
Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa.
Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga...
Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano.
Kuwadai watu wanao omba kazi au...
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU,
NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar.
Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
"TPDC iko kwenye maandalizi ya kuchimba visima viwili (utafiti na uhakiki) vitakavyogharimu Sh bilioni 202.6. Mategemeo yetu katika utafiti huu ni kugundua gesi asilia futi za ujazo trilioni 1.032 (TCF). Kisima hiki kitakuwa baharini na ni cha kwanza kwa TPDC” Dk. James Mataragio