uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yakabiliwa na uhaba wa matiti bandia

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhitaji wa matiti bandia kwa ajili ya kusaidia akina mama wenye saratani ya matiti ambao wengi wao wamekuwa wakikatwa titi na hivyo kuhitaji titi bandia ili wawe na mwonekano mzuri. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es...
  2. M

    SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  3. SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
  4. V

    Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  5. S

    Ujerumani yaipigia magoti Canada irejeshe injini (ipo kwenye vikwazo) ya mitambo ya gesi ya Urusi Ujerumani, ili kuiokoa Ujerumani na uhaba wa gesi

    EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo. Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
  6. Japan yawataka raia milioni 37 kuzima taa kukabiliana na wimbi la joto na uhaba wa umeme

    Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
  7. Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
  8. Chad yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa chakula

    Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa (UN) umeonya kuwa watu Milioni 5.5 katika Taifa hilo watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2022...
  9. Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  10. Uhaba wa magari kwa magereza nchini inaleta ulazima wa kuwekeza kwenye teknolojia

    Nimesoma ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu magereza yetu nchini ambayo mbali na kuwepo na matatizo mengi. Ametaja shida ya kutokuwepo kwa magari kwa ajili ya kuwasafirisha wafungwa na mahabusu kutoka magereza hadi mahakamani. Ripoti imeonesha magaereza zina uhaba wa magari kwa...
  11. M

    Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

    Mzuka wanajamvi! Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua...
  12. Hospitali ya Wilaya ya Chato yakumbwa uhaba mkubwa wa dawa

    HOSPITALI ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, inakabiliwa na uhaba wa dawa hali inayotishia baadhi ya wagonjwa kupoteza maisha. Wakizungumza na Nipashe baadhi ya wagonjwa na ndugu katika hospitali hiyo, wamesema wanalazimika kutumia fedha nyingi kupata matibabu kutokana na kutakiwa kununua dawa...
  13. Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

    Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti. Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
  14. Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  15. Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

    Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani. Hayo yamesemwa na waziri wa Nishati wa nchi hiyo bw.Habeck ambaye pia ni naibu chancellor wa nchi hiyo. Katika ufafanuzi wake...
  16. Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  17. Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  18. Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  19. Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  20. Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…